Why Tanzania is among the leading in multidimensional poverty in Africa?

Duh.. Dogo hivi hapo unaona hao raia ni masikini? Unaona hapo hao watoto na madumu yao wanachezea maji safi yanayotoka kwenye bomba? Huoni hapo kama kuna nguzo kabisa za umeme?

Yani hapo kuna kila huduma muhimu kama maji na umeme alafu ndio unatumia kam reference ya umasikini?
Siyo mzima wewe!
 
Cape town pia inakosa maji sana, and Dar cannot be mentioned in the same sentence na Cape Town., and get your facts right. Uliona ni Nairobi yote ama sehemu? Si watu wangekua wamekufa, three weeks! I showered from flowing water from my instant shower tap, sikutumia basin[emoji23][emoji23] hii propaganda ni yako; get proper information next time.
Nairobi huu ni mwezi wa tatu hamna maji alafu watu wanakuja hapa kupigapiga kelele
Nyie mlishawahi sikia dar kuna shida ya maji
 
Nyaya za umeme zenye wengi cant afford to drop in their houses!, maji pia Kenya iko sehemu nyingi ata kwa slums na pia umeme., so it is not necessarily a measure of individuals standard of living. Bado mko na maisha duni., kiukweli Africa iko nyuma sana! Very few countries ndio wako na sauti ukiondoa South Africa, ambao pia wanasambaratika kila uchao.,
 
Leta za kenya kama hizo tuone
 
Kembe wewe hujui kitu kuhusu tz,!

Usifikiri hatuangalii huko Kenya, citizentv kwa mfano haiwezi kupita taarifa bila kuonesha watu wenye njaa!
 
Mbona musi translate that into wealth among your poor populace?, those are nothing to prove mko nafuu, I can throw here videos of farming across Kenya, especially mechanized farming from Rift Valley to Trans-Nzoia, propaganda za kuwapumbaza ilhali kiukweli wengi hawana hayo maisha ni wanabiashara wajanja tu, wengi wenyu hapa ni lifestyle ya Tandale, wakirudi mashambani life ni hii level
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Hahahaha... Umewapiga misumari ya moto mkuu
 
Nenda youtube ushangae, utafyata., I like facts., then come and tell everyone I lied., will be here waiting., check right away.,
Leta za kenya kama hizo tuone
 
Ukweli unawauma sana, jitahidi mtoke kwa ufukara, muache misifa za bure.,
Kembe wewe hujui kitu kuhusu tz,!

Usifikiri hatuangalii huko Kenya, citizentv kwa mfano haiwezi kupita taarifa bila kuonesha watu wenye njaa!
 
Duh.. Sasa hii hata USA watu kama hao wapo lakini tunachoangalia ni wingi na kiwango chao cha umasikini!
Kama mtu anakosa hadi chakula hapo kuna shida na kwenye hili katika nchi hizi mbili Tz na Kenya, Kenya inatisha kwa umasikini.
 
Ukweli unawauma sana, jitahidi mtoke kwa ufukara, muache misifa za bure.,
Nmekushangaa sana kutumia sehemu yenye huduma zote muhimu maji na umeme kama reference ya umasikini!

Kumbe sisi tz tuko juu sana
 
Duh.. Sasa hii hata USA watu kama hao wapo lakini tunachoangalia ni wingi na kiwango chao cha umasikini!
Kama mtu anakosa hadi chakula hapo kuna shida na kwenye hili katika nchi hizi mbili Tz na Kenya, Kenya inatisha kwa umasikini.
Facts never lie, kukosa chakula huwa seasonal kwa wale wanao ishi sehemu za jangwa wakati wa ukame., na mara mingi ni kuzembea kwa serikali ama ufisadu wanachukua muda kufikisha chakula. Ingekua mtu anakosa chakula kutoka January hadi December basi hiyo ingekua umasikini wa kiaina, ndio maana when research is done, with critical analysis ya hali halisi ya watu East Africa, Tanzania inapatikana wengi wenye maisha fukara siku zote.,
 
Ivi huwa unanzishag mada gani ww acha upimbi...ivi kwa maisha ya Tz unawez linganish na nchi gn apa EA.....ww unaonekan hata mana y umaskin huelew ...pumba tuupu....nyie ndio maskini wakutupwa n kigiiiidiipiii chenu.....mfano mzuri chukua mkulima anae kaa shamba anamilik fertile soil ,anafuga ,anaumem n maji juu...kwa akili yako iyo y kisoda unamwita maskin...nanyie tuwaitaj.. ...tuliza kende leta mada zinazo elewek siyo huu upumbav
 
Ukweli unauma, CCM won't allow such to be broadcasted, wewe kama uko sawa usifikiri wenzako pia wako vile. Chrisrina Shusho kakiri kwa wimbo; "umasikini sasa ndio wimbo...utukumbuke" nami nasema amina kwa hilo ombi. Maulana atawakumbuka, kubali hali mpone.
Wacha kutuletea vitu vyakijinga...hutaa ukute Tz kuna watu wamekonda au kufa na njaaa...ayo mambo mnayo kenya na ndugu zenu somalia
 
Povu ruksa [emoji23][emoji23] endelea kuzimwaga, nilijua ukweli na watanzania humu(sio wote) ni kama maji na mafuta. East Africa Tz rules in numbers living in extreme poverty., ukatae ukubali, poverty is too visible in Tz, nikama kikohozi, haifichiki. Wewe tulia hakuna vita humu, it was factual information being passed across.
 
Ww unaonekan hujui chochote kusu Tz ....yn uko sifurii kabisa unazani hii ni Kenya ....mm nakwambia hakuna mtu wa aina iyo Tz kubal kata dat's on you ...hiii siyo nchi ya kibeberu kama yenu hii ni mixed economy ikiwa n root za socialism....alafu kuna large peace of fertile land ....so jua huku njaaa tuliwachia nyie paper gdp
 
Umesahau taarifa ya watoto kukula kinyesi kwa kukosa chakula in Tanzania? Unaishi upande upi wa Tz?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…