Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Duh.. Dogo hivi hapo unaona hao raia ni masikini? Unaona hapo hao watoto na madumu yao wanachezea maji safi yanayotoka kwenye bomba? Huoni hapo kama kuna nguzo kabisa za umeme?Kukosa chakula Kenya hufanyika wakati wa kiangazi haswa kwa wale jamii wa kutangatanga na mifugo (nomadic tribes) na wale wanao ishi sehemu za jangwa, hiyo inaitwa hunger caused by drought not poverty[emoji23][emoji23][emoji23]wewe ni mjinga wa fikra kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], sio kisa cha kila siku, au mwaka mzima. Lakini umasikini ni ule wa kila siku, January hadi Januari hali ni ile ile. Wale watu wa Turkana na Wasomali kule Northern parts za Kenya ambao sazingine njaa inawasumbua na mifugo zao kukufa wakati wa kiangazi, wengi ni matajiri kukushinda wewe. Mtu unaweza kukuta anamiliki Ng'ombe zaidi ya elfu., ila sijui kwa nini hawapendi kuchinja kirahisi iwe kitoweo.
Seasonal lack of food is not necessarily poverty, serikali huwa inachelewa kufukisha chakula., siasa na ufisadi. Ila kwenyu umasikini ni wa January to January., na ni multidimentional kama unaelewa. Mko ovyo, ni propaganda za ccm zinawapumbaza; huu ujinga wako peleka kwa section ya Tanzania kwa hii jf jukwa la habari na hoja mchanganyiko ama news section uone vile watanzania wenye akili timamu watakukashifu., most dont tolerate ccm diehards anyhowly. Pale hauna sauti wewe. Hapa unakuja kumwaga porojo na fikra zako finyu., wewe binafsi uko among the poor Africans. Wewe ni wa hizi makao, this is your level na hili liko wazi from your reasoning; hizi fikra zako zinatokana na hali duni ya maisha yako, na pia mashambani kwenu ni sawa tu na hiyo picha ya tatu, hauna utajiri wowote wewe;
[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1490351View attachment 1490352View attachment 1490353
Yani hapo kuna kila huduma muhimu kama maji na umeme alafu ndio unatumia kam reference ya umasikini?
Siyo mzima wewe!