Kwani tofauti kati ya World bank na IMF ni nini? Au unafikiri anayesema TZ inakuwa kwa 7% ni Serikali ya TZ? Hii iko recorded kila mahali na TZ wanachukuwa hizo takwimu huko kwa Wazungu na kuzichapisha.
Hivyo kama mnabisha mlipaswa mbishane na hao Wazungu wa hizo taasisi wanaochapisha hizi datas!
It depend na media stations unazopendelea maana kuna entertainment based kama clouds na zile informative kama Itv, capital etc..... so its more of yo own preference bro
For instance, a recent scandal emerged in your country involving 1.5tr and not one single media has done investigative journalism and analysis apart from reporting what the government says.
See below an example of a similar story in Kenya, how media dares to report the issues