Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Hakuna report ya world bank hebu wema moja tuione
Kwani tofauti kati ya World bank na IMF ni nini? Au unafikiri anayesema TZ inakuwa kwa 7% ni Serikali ya TZ? Hii iko recorded kila mahali na TZ wanachukuwa hizo takwimu huko kwa Wazungu na kuzichapisha.
Hivyo kama mnabisha mlipaswa mbishane na hao Wazungu wa hizo taasisi wanaochapisha hizi datas!