Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Kiinglish is uncommon to Tanzanian s!Naona watu hawajengi hoja kwa kiinglish
Inamaana tuna tatizo la lugha ya kiingereza kubwa kiasi hicho?
Wengi wanaishia tu kukashifu kwa sentence moja ikionesha hata hawajaelewa vizuri mada iliyoko mezani