Why the hate? Chuki ya nini?

Why the hate? Chuki ya nini?

IamLee

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2017
Posts
5,692
Reaction score
6,071
I have made a lot of observations in this forum. Why is there so much hate on both the Tanzanians 🇹🇿 and Kenyans 🇰🇪. But more so, so much hate from the tanzanian side, Kenyans are doing it as a counter attack or defence which is only rises as a matter of provocation. Take for example these topics which are very similar, one Tanzanian amd the other is kenyan, review the comments amd if you think I am biased, feel free to visit the thread, it's wide open.

Screenshot_2018-09-11-00-02-00.png
Screenshot_2018-09-11-00-02-06.png
Screenshot_2018-09-11-00-02-13.png
Screenshot_2018-09-11-00-02-18.png

Now compare to this

W
Screenshot_2018-09-11-00-04-14.png
Screenshot_2018-09-11-00-04-25.png
Screenshot_2018-09-11-00-04-35.png
Screenshot_2018-09-11-00-04-44.png
Screenshot_2018-09-11-00-04-49.png
Screenshot_2018-09-11-00-05-10.png

As a matter of fact, no kenyan even comments on the Tanzanian thread, despite the fact that it's posted on the Kenyan Politics segment.
I don't want to start an argument, don't even comment on this. I'm just throwing it out there.
 
No, it's not hate!

It's just another form of love. These guys are just funny rivals!

Usichukulie serious yanayoongelewa humu, trolling each other is their way of showing love and affection to each other!

Wanaweza hata kucompare sunshine ya Nairobi na ya Dar ili wapate nafasi ya kutroll!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
😂😂 Sunshine..
 
Usichukulie mambo serious humu kihivyo.
Mfano Tz, wachaga hadi leo wanaitwa wezi, does anything for money, kuna kabila famous kwa uchawi, wanataniwa pia.
Hivyo yani, no big deal.
Lkn kama una ma feelings sana, utapata tabu sana.
 
Hivi ile filamu ya NAIROBI HALF LIFE imefanya vizuri kuliko DEVILS' KINGDOM? Nauliza swali. Kenyans mkuje
 
Usichukulie mambo serious humu kihivyo.
Mfano Tz, wachaga hadi leo wanaitwa wezi, does anything for money, kuna kabila famous kwa uchawi, wanataniwa pia.
Hivyo yani, no big deal.
Lkn kama una ma feelings sana, utapata tabu sana.
sijui kama kila mtu anakubaliana na hilo, kuna mtu kwa jina Geza Ulole ambaye ameamua na kuapa kwa moyo wote kuwa hana uzuri wowote na nchi tukufu ya Kenya ama raia wa nchi hii.
 
Wakenya wepesi sana kusahau mnajua kitu inaitwa COW na nyingine inaitwa EPA au mmeshasahau kila chuki inachanzo chake nyinyi mligeuza upole wetu na ukalimu wetu kuwa upumbavu Leo mmesahau .ila siku zote mwizi uanza ukolofi akizidiwa na kupigwa vibaya watu wasiojua chanzo uona mwizi anaonewa .hivyo hivyo Kwa Kenya mlianza ukolofi wenyewe sasa tumekuzidini nguvu mnalalamika
 
Jibu mulua kabisa
 
No, it's not hate!

It's just another form of love. These guys are just funny rivals!

Usichukulie serious yanayoongelewa humu, trolling each other is their way of showing love and affection to each other!

Wanaweza hata kucompare sunshine ya Nairobi na ya Dar ili wapate nafasi ya kutroll!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
1536692589652.png
1536692583504.png
1536692583504.png
1536692583504.png
1536692583504.png
 
wengine nakuhakikishia ni trolling tu...for fun...ila kuna wengine sijui walifanyiwa nini
1536692723764.png
1536692723764.png
1536692723764.png
1536692723764.png
jamaa wanamwaga povu chungu nzima humu ....chuki iko lakini... hio wasikudanganye......swali ni je, mbona chuki?...pengine ni competition...tz has always wanted to be the number one nation in east africa ila kenya imekuwa ikishikilia position hio kwa muda mrefu...
 
Just childishness sometimes...I never see why one bothers about what a country has or has not especially if it is not directly benefiting one personally monetarily...But that’s just me...
 
Ukweli usemwe tu, bila longolongo nyingi, ELIMU. Ona hii hapa,
img-20161228-wa0033-jpg.451381
https://www.jamiiforums.com/threads...kilimanjaro-kwenye-kadi-ya-christmas.1174066/ Ukisoma comments kwenye uzi huu hapa juu utaona watz waliowengi hata nchi yao hawaifahamu vizuri, inasikitisha sana wanavotiririkwa na povu na kujawa na chuki wakisema huo mlima hapo kwenye kadi ni Ml. Kilimanjaro. Ukiangalia hiyo 'animated image' ya Ml. Kenya utaona ulivochongeka na hata mwenye chongo au kengeza hawezi akaufananisha na Ml. Kilimanjaro. Jeografia kwa wengi wao pia ni tatizo maanake hawajui urefu wa Ml. Kenya(mita 5,199, Kili umeuzidi na mita 696 tu) na kwamba una theluji kileleni pia. Ndio huu hapa Ml. Kenya.
beautiful-view-of-mount-kenya-as-seen-on-360-climbing-expedition-in-kenya-africa.jpg
 
...na baada ya kutoponda vilivyo hawakukawia kuiga kutoka Kenya hilo wazo la kadi ya salaam za heri ya krisimasi na mwaka mpya kutoka ikulu.
img-20161231-wa0133-jpg.452538
Walikiri wenyewe kwamba ilikuwa ni copy and paste iliyofanywa ovyo ovyo kwenye uzi huu. https://www.jamiiforums.com/threads...ya-mwaka-mpya-toka-kwa-rais-magufuli.1175511/ Mkisema ni chuki mimi nasema elimu duni pia inachangia kwenye haya malumbano yasokuwa na tija. Linganisha umbo la mlima kwenye hizo kadi mbili.
 
Ukweli usemwe tu, bila longolongo nyingi, ELIMU. Ona hii hapa,
img-20161228-wa0033-jpg.451381
Kenyatta na Ruto wakiunadi Mlima Kilimanjaro kwenye kadi ya Christmas - JamiiForums Ukisoma comments kwenye uzi huu hapa juu utaona watz waliowengi hawaifahamu hata nchi yao, inasikitisha sana wanavotiririkwa na povu na kujawa na chuki wakisema huo mlima hapo kwenye kadi ni Ml. Kilimanjaro. Ukiangalia hiyo 'animated image' ya Ml. Kenya utaona ulivochongeka na hata mwenye chongo au kengeza hawezi akaufananisha na Ml. Kilimanjaro. Jeografia kwa wengi wao pia ni tatizo maanake hawajui urefu wa Ml. Kenya(mita 5,199, Kili umeuzidi na mita 696 tu) na kwamba una theluji kileleni pia. Ndio huu hapa Ml. Kenya.

Hiyo peak nyuma ya Uhuru na Ruto si Mt Kenya! That's Kibo peak!
 
No, it's not hate!

It's just another form of love. These guys are just funny rivals!

Usichukulie serious yanayoongelewa humu, trolling each other is their way of showing love and affection to each other!

Wanaweza hata kucompare sunshine ya Nairobi na ya Dar ili wapate nafasi ya kutroll!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom