Kenya is now working with ethiopia its building a northern corridor we concentrating on IGAD than EAC (east african community) maneno ya tanzania tutafunga soon... hatusaidiani ni vitina tukenya walidhani watafaidika kwa kuudhoofisha uchumi wa tanzania, sasa wamegundua nini? kenya amekuwa jiani mnafiki sana na anayeitakia Tanzania mabaya muda wote. Sasa tumeamua, kila mtu atakula kwa jasho lake, no free lunch especially for kenyans
tulifunga mpaka wiki moja tu chakula kikaanza kupanda kenya![emoji38][emoji38][emoji38]hiki ulichoandika hata wewe hukiamini.
aliyewadanganya ethiopia kuna vya bure ni nani? acheni ujanja janja, Tanzania tuna SADC yenye mataifa 16 ikiwemo DRC na Tanzania ina uanachama wa damu na si wa kimasilahi kama wa EACKenya is now working with ethiopia its building a northern corridor we concentrating on IGAD than EAC (east african community) maneno ya tanzania tutafunga soon... hatusaidiani ni vitina tu
Slum zipi? Hauonangi news sahii tafuta hata kibera uone kama inakaa slum yako ya kawaida... huwezi compare tanzania hata hakuna decent toilets watu wanatumia choo za shimokwahiyo kukaa kwako kwe hizo slum bila kazi na kuitukana Tanzania ndo ajira yako au??ujinga kujifananisha na afrika kusini..cha kujifunza ni kua kama ilivyo afrika kusini ajira kushikwa na ngozi nyeupe chache kenya ajira zimeshikwa na makabila machche na familia ya kenyata,mliobaki mmekua watumwa kwenye nchi yenu wenyewe
Ni sawa lakini ndivyo mambo yalivyo sasa tushafungua mipaka moyale tumejenga one stop boarder point tushajenga njia direct from lamu all the way to Addis ababa wacha tu tujaribu north labda mambo tutakua tofautialiyewadanganya ethiopia kuna vya bure ni nani? acheni ujanja janja, Tanzania tuna SADC yenye mataifa 16 ikiwemo DRC na Tanzania ina uanachama wa damu na si wa kimasilahi kama wa EAC
ah ah kunyaland mnajua kuhusu toilets tu ah ah naona mmeingia top 4 ya biggest slums in the world..bora sisi vyoo vya shimo...nyie mnakunya kwe mifuko... The World's Largest Slums: Dharavi, Kibera, Khayelitsha & NezaSlum zipi? Hauonangi news sahii tafuta hata kibera uone kama inakaa slum yako ya kawaida... huwezi compare tanzania hata hakuna decent toilets watu wanatumia choo za shimo
Ukisoma kitu Soma na mwaka ilipo andikwa hiyo ni miaka Kumi iliyopita tafuta updated news na si mimi nilisema tanzania hakuna choo ni utafiti usinilaumu mimi kama hamna chooah ah kunyaland mnajua kuhusu toilets tu ah ah naona mmeingia top 4 ya biggest slums in the world..bora sisi vyoo vya shimo...nyie mnakunya kwe mifuko... The World's Largest Slums: Dharavi, Kibera, Khayelitsha & Neza
mwehu nn article ya 2017 unasema miaka 10 nyuma....kwahiyo within 3 years now hamjisaidii kwe mifukoUkisoma kitu Soma na mwaka ilipo andikwa hiyo ni miaka Kumi iliyopita tafuta updated news na si mimi nilisema tanzania hakuna choo ni utafiti usinilaumu mimi kama hamna choo
Hapana kibera ilijengwa kila sehemu sasa ina lami stima na basic needs and housing rehabilitation project inaendelea huko tafuta YouTube latest videos za kibera utaona sasa baki nyinyi tu na vyoo vibovuwe
mwehu nn article ya 2017 unasema miaka 10 nyuma....kwahiyo within 3 years now hamjisaidii kwe mifuko
tatizo moja wakenya mmekua kama zombies...kenyata anawashikashika mashavu then anawanyonya big tyme akiishi kwe posh places..sasa hiyo bange unayovuta uendelee vuta..lakini bado mnajisaidia kwenyemifuko mora than 1 million inhabitants in kibera...kupitisha road iliyokua infrated bei haizuiii kujisaidia kwe mifuko Life on $1 a day in Kibera, Africa’s largest slum – photo report - Minority Rights GroupHapana kibera ilijengwa kila sehemu sasa ina lami stima na basic needs and housing rehabilitation project inaendelea huko tafuta YouTube latest videos za kibera utaona sasa baki nyinyi tu na vyoo vibovu
tatizo moja wakenya mmekua kama zombies...kenyata anawashikashika mashavu then anawanyonya big tyme akiishi kwe posh places..sasa hiyo bange unayovuta uendelee vuta..lakini bado mnajisaidia kwenyemifuko mora than 1 million inhabitants in kibera...kupitisha road iliyokua infrated bei haizuiii kujisaidia kwe mifuko Life on $1 a day in Kibera, Africa’s largest slum – photo report - Minority Rights Group
ushakunya kwenye makopo lakin?? yaani we jamaa unataka niamini youtube links badala ya credible news..mna matatizo nyie ndo maana mama ngina anawapiga ela tuWacha kusoma report za NGOs wanaotaka wapate msaada kutoka nje kibera census ilifanywa kibera ina population ya 180,000 pekee na nimekuambia angalia YouTube kibera ya sasa kama huwezi wacha nikupe links
Angalia hizo mbili uniambie kama hiyo ni kibera unavyo fikiria .. ndiyo ni slam bado lakini its improvedtatizo moja wakenya mmekua kama zombies...kenyata anawashikashika mashavu then anawanyonya big tyme akiishi kwe posh places..sasa hiyo bange unayovuta uendelee vuta..lakini bado mnajisaidia kwenyemifuko mora than 1 million inhabitants in kibera...kupitisha road iliyokua infrated bei haizuiii kujisaidia kwe mifuko Life on $1 a day in Kibera, Africa’s largest slum – photo report - Minority Rights Group
Kwahiyo Japan na Europe hawajaendelea kwasababu unemployment is less than 4%?Hata south africa ukosefu wa Ajira upo juu.. hiyo ndo shida ya inchi kudevelope.... watu wanasoma wengi halafu wanauza kubagua kazi za mkono na za jua kali wakibagua kazi wengi wanabaki unemployed. Si jipya hilo
YouTube ni video imechukuliwa vile hali ilivyo si maneno Maneno tu wewe hufiriiiushakunya kwenye makopo lakin?? yaani we jamaa unataka niamini youtube links badala ya credible news..mna matatizo nyie ndo maana mama ngina anawapiga ela tu
Hizo ni first class economies this how it works kwanza mko third class any job goes so low unemployment then you strive to middle class economy demand for good job rises people become highly unemployed, The moment kumekua na that demand and you solve it by creating many high end jobs sasa you comfortably start achieving first class economy status hope that helps you understandKwahiyo Japan na Europe hawajaendelea kwasababu unemployment is less than 4%?
hivi unajua kwa haya maneno yako umeitukana tanzania kua ni nchi ya kipuzi?ama hulifahamu hilo