Why the WARIOBA COMMISSION has failed the nation in many ways!

Jana ilikuwa ni msiba wa kitaifa pale ambapo wanasiasa walipokutana IKULU kubariki kukiuka katiba iliyopo wakijidanganya ni kutetea masilahi ya taifa.

Swali langu ni moja tu hivi ni masilahi yapi ya kitaifa kwa kukubaliana kuivunja katiba iliyopo kwa kutumia sheria ya kawaida ya kuirekebisha katiba wakati inabeza utaratibu ulio wazi wa kisheria uliomo kwenye katiba iliyopo???????????????.

Wako wanaojidanganya kuwa katika hiyo wanayoiita ni katiba mpya wataweka vipengere vingi vya kuzuia watu kwenda mahakamani kuipinga itakapopitishwa wakidhani hiyo ndiyo ngao yao lakini wasichojua ni kuwa bila haki kuishinda dhuluma basi mchakato wa kudai katiba mpya utaendelea tu hadi pale mwafaka wa kitaifa utakapopatikana................

Mwafaka uliopatikana jana IKULU ni wa wanasiasa kukubaliana kulinda masilahi yao kwa kuyabeza na kuyafinya masilahi ya watawaliwa. Mustakabali uliokithiri dhuluma kama huu kamwe hauwezi kudumu na vuguvugu la kudai mustakabali shirikishi litaendelea baada ya hawa vinara kuondoka madarakani.

The good news is no one lives forever to solidify his beliefs however repulsive those beliefs are..................
 
From the infamous Appeals Court decision of A.G v. Rev. Christopher Mtikila we can blithely soliloquize the following paragraphs:-


It is clear that the on-going constitutional amending process has offended Article 98 (1) and the High Court ought to be requested to strike out the law behind this constitutional anarchy before our very eyes...............
 
Jana tumemsikia Tundu Lissu akinguruma juu ya sheria ya marekebisho ya Katiba inakiuka katiba iliyopo. Tatizo ni kuwa haya mawazo sahihi yamekuja yamechelewa sana hasa ukizingatia Chadema walishiriki katika kuunda Tume ya Warioba. Kilichobaki sasa ni kwenda mahakamani kupinga sheria ya marekebisho ya katiba badala ya kuendeleza kuwachanganya wananchi na hivi vigeugeu ambavyo havina tija kabisa..............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…