Why we feel so good on dream sex rather than normal sex(just like kiwembe)

Why we feel so good on dream sex rather than normal sex(just like kiwembe)

Wet dream (Njozi za kimapenz ni tamu ) kwakuwa ndan ya ndoto
Ule nae anakuw total willing
Hujatuma nauli wa hutotoa pesa (akili inakuw free)

Unakuw mazingr ambayo unajiamin no wory of mimba HIV wala nn 🔥🔥💙
 
Ukizubaa linafunga ndoa na wewe, hapo ndio utajua kwamba shetani hana sura mbaya 😂
Ni hatari Sana hiyo, yaani likifanikiwa kufunga ndoa nawe Basi utakuwa umeisha,,, yaani Kama hujaoa/kuolewa Kwenye ulimwengu wa fizikia ( physical world) ujue ndo imetoka hiyo.
 
Yanageukaga hayo siku litatamani nalo likukojoze we endelea kuendekeza hizo ndoto nyevu badala ya kukemea 🤣
Kuna kipindi niliotaga ndoto ya hivyo nikastuka nikaamka nikaikemea vibaya Sana.
Sasa imepita miaka zaidi ya 4 sijawahi kuota huo upuzi Tena.
 
Back
Top Bottom