Why we feel so good on dream sex rather than normal sex(just like kiwembe)

Sexual dream at the Adult age is the sign of Evil spirit.....!!
Period.
 
Najaribu kutafiti kwamba huwenda miili yetu huwa na nguvu zaidi pale tunapokuwa tumelala.

Kwa sababu ukishalala huwa hauna ufshamu wa nini ufanye na nini usifanye.

Kama ni hivyo maana yake kuna power ambayo imekuzidi ndio inasimamia kila kinachoendelea mwilini mwako wakati huo ukiwa umelala.

So hiyo power ndio inaweza kufanys maajabu yeyote yale hapo usingizini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…