Why women think ALL MEN ARE SAME? Its bcoz . . . .

Ila inasikitisha unapotuita dogs!! this is kind of being very rude. Iko siku utakaa na nafsi yako itakusuta kwa kumwita baba yako mbwa na mmeo pia. Sidhani na ww kama ukitwa vinginevyo utafurahi. Thanks, kwa wote mliosema kuna utofauti kati ya mtu na mtu.
 
Mi naweza kusema wanaume wote ni sawa kwa staili hii hapa!!

Jinsi wanavyochukulia swala la mahusiano/mapenzi sio kama wanawake. Na ndio maana haoni shida kukuacha, kukuzalisha na kukuacha tu na maumivu yako. Yani akimua ameamua kwa gharama yoyote ile.

Na hata kama yeye ndo ameachwa na mwanamke haumii kwa muda mrefu kama mwanamke, ni rahisi kusahau mapema na kuendelea na maisha. Tofauti na mwanamke.

Wote hawaoni shida kuwa na wanawake zaidi ya mmoja, labda kama ameshikwa tu na Neema ya mungu na anayo hofu ya Mungu kweli kweli.

Wote ni wajanja na wana mbinu za kuuteka ufahamu wa mwanamke hata kwa ulaghai.

Wote hawapendi kuwa chini ya mwanamke, hata akijitaidi kuna siku atachoka. Wote wanatamani kwa macho yao, na akipata nafasi na akiamua anatimiza tamaa ya macho yake.

Kwa maana hiyo basi hata baba zetu babu zetu, mtoto wa kike lazima ukae naye kwa akili, kwa sababu baba haoni shida kutembea na mwanae kutimiza tamaa ya macho na moyo wake kwa mwanae, achilia mbali housegirl.

Hivyo ndo ninavyofikiria mimi. Kama mwanaume ana upendo atakupenda, kama hana atakuchakachua na kukutupa kule. Wote!!!
 
all men/boys are dogs!!:A S 20::A S 20:

PLS STOP INSULTING US
YOUR ARE FREE TO INSULT YOUR FATHER AND BROTHERS IF YOU WISH TO DO SO
:coffee:
 
PLS STOP INSULTING US
YOUR ARE FREE TO INSULT YOUR FATHER AND BROTHERS IF YOU WISH TO DO SO
:coffee:

Mkuu amekosa msamehe please... (probably thats the benefits of freedom of speech) probably experience wise she has got the evidence of thinking as such.., it up to you to prove otherwise... (after all she is entitled to her own opinion... iwe na ukweli au baseless within reason ofcource)
 
mm ninafikir huu usemi upo kinyume mana ninafikir WOMEN ndo wako sawa au nimeelewa vbaya hv
 

LD umenena-nakubaliana nawe kwa %zote.lakini hicho ulichokiongea wanawake wa kileo o kisasa wanakifanya,
 

Okey I got it
But freedom of speech shall not be used to insult other human beings
Every freedom has its privileges
Even if she experienced alot of problems in her life relationship with men, dat doesnt give her rights to insult me.
Two wrongs doesnt give a right
 

Inauma ehh???:twitch:Just like TABIA ZENU CHAFU!!Anza kwa kumheshimu mwenzako kabla hujataka na wewe uheshimiwe!!!:coffee:
 
LD umenena-nakubaliana nawe kwa %zote.lakini hicho ulichokiongea wanawake wa kileo o kisasa wanakifanya,

Inawezekana my dear, lakini mi ndivyo ninavyofikiria tu juu ya wanaume! Kwamba kwa factor hiyo Baba yao ni mmoja. Wanafanana!!
 
PLS STOP INSULTING US
YOUR ARE FREE TO INSULT YOUR FATHER AND BROTHERS IF YOU WISH TO DO SO
:coffee:

Mkuu muhurumie mwenzio, alishaumizwa huyo!! Nafikiri tuwape uhuru watu wajadili tu bila hofu. Ukiwakuta walioumizwa ndo majibu yao yako hivyo!! Hivyo tumsamehe kwa bure kabisa na tumuhurumie!!!
 
Mkuu sidhani kama amekutukana wewe huu msemo upo na nimeshausikia mara nyingi (although sikubaliani nao) lakini thats life, people are entitled to their opinions na mimi binafsi huwa natumia kama challenge kuwabadilisha

Mfano cheki hivi Vitabu
Men Are Dogs: A Woman's Guide to Choosing Her Breed of Man I think mtunzi alitunga kwa kuweka Humour kidogo...
Pia kuna vitabu vingi sana kwa hiyo Title
Amazon.com: Men Are Dogs*: *In the Best Possible Sense! (9781402202773): Molly Hewitt: Books
Amazon.com: Book of Love: The Definitive Reason Why Men Are Dogs: Richard T Jones, Eric George: Movies & TV

Kwa hiyo Mkuu unaona kama tungemuuliza Why Do you Think So..., tungepata jibu zuri kuliko kusema You Should Not Say So???
 
Mkuu muhurumie mwenzio, alishaumizwa huyo!! Nafikiri tuwape uhuru watu wajadili tu bila hofu. Ukiwakuta walioumizwa ndo majibu yao yako hivyo!! Hivyo tumsamehe kwa bure kabisa na tumuhurumie!!!

Kweli kabisa, kama ukiwafikiria wanaume kwa kuangalia matendo yao yanayotokana na uanaume waoa. Mnamajina zaidi ya hayo coz, wabakaji wa vitoto vichanga ni wanaume, wanaokatisha watoto masomo wanaume, wanaowapa watu mimba nakuwakataa watoto wanaume, wanaoharibu malengo ya wadada wanaume, Daaaaaa poleni lakini, natamani Mungu afante kitu kwa ajili ya wanaume wanaoumiza watu wengine. Walau wabadilike!!
 
all men/boys are dogs!!:A S 20::A S 20:

Let me think. So it means all women/girls are dog's daughters. That meamns they are female dogs or bitches. Year it makes sense.
 
Women think men are the same on the sexual behaviours but on other aspects,men are diffrent!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…