Fahari ya kusini
JF-Expert Member
- Nov 26, 2022
- 545
- 1,908
Mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo amefariki dunia leo Septemba 30, 2026 kwa ajali ya helikopta akiwa na mkewe Lucy “Lulu” Muteke pamoja na watu wengine wanne.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shirika la Utangazaji nchini Zimbabwe, limemnukuu mwanafamilia Herbert Chivayo ambaye ameeleza kuwa ajali hiyo imetokea eneo la Marondera vijijini.
Hadi sasa, Polisi nchini humo kupitia kwa msemaji wake, Paul Nyathi imethibitisha kutokea kwa ajali hiyo, ambayo haikuwa na manusura yeyote, bali ni vifo vya watu sita, wakiwemo marubani wawili.
Nimefarijika sana kwa maneno haya, ya rais wetu kuwafariji wafiwa kufuatia kifo cha bonge, ila ningefarijika zaidi, kama Rais wetu, pia angetoa statment yenye maneno ya faraja kama haya, kwenye lile tukio letu lile!.Kupitia kurasa zake mtandaoni, Rais Samia meandika;
Kwa niaba ya Serikali na wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, natoa salamu zetu za dhati za rambirambi kwa familia za wale wote waliopoteza wapendwa wao pamoja na wananchi
Nimejifunza kitu kipya. Umemzungumzia kwa nafasi mbili. Ile ya Yeye kama yeye na ile nafasi ya Umma. Swali, kwa 'tukio letu lile', ulitaka aliendee yeye kama yeye ama aliendee kwa nafasi ya Umma ama vyote kwa pamoja?letu lile!.