"WICLIFFE MOENGA" kijana, aliemaliza degree yake ya IT, Amehack mfumo wa serikali na kunilipa mshahara

"WICLIFFE MOENGA" kijana, aliemaliza degree yake ya IT, Amehack mfumo wa serikali na kunilipa mshahara

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
757
"WICLIFFE MOENGA" kijana,aliemaliza degree yake ya IT, Amehack mfumo wa serikali na kujilipa mshahara kwa muda wa mwaka mmoja bila serikali kujua.

Aliongeza Jimbo nchini kenya na kuwa MBUNGE, na kuendelea kupokea Mshahara pasipo kujulikana.

Elimu,imemkomboa japokuwa yupo mikono salama kwa Sasa.
 
Alichosahau huyo Bwana ni kujifukuzisha kazi, kwani angeenda kupokea fao la kukosa ajira na asingekuwa amekamatwa hadi sasa 🙌
 
Back
Top Bottom