Malcolm X5
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 1,639
- 2,752
sure mkuu??.eheheh sijui kama atakuelewaNipm namba yake nije kuomba msamaha mbele ya wife wake kuwa jana alivoniazima gari nilifanyia ufuska ila kuna malipo kidogo ya kunipoza
demu kwa gari, underwear kwa gari. Hicho ni Kiswahili kibovu cha kikenya. kwa inapaswa iwe kwenye. Samahani lakini.Habari zenu waungwana,
Nina kisa leo kimetokea kidogo kitoe taharuki mtaani,
Nina jirani yangu amekutwa na mkasa,jana alitoka na gari yake,
Akiwa mtaani akapiga demu kwa gari,demu akaacha nguo yake ya ndani,
Mshikaji sababu alilewa sana,akasahau hata kuchungulia ndani ya gari,
Wife kaamka kapekua,kutana na kitu aisee,
Wife kamwambia mambo ya kitandani na wewe tena basi,tulee watoto finish
Jamaa anawaza afanyeje,atokeje
Ushauri kama upo.
vyuma vimekaza! umetisha sana[emoji23][emoji23]Nipm namba yake nije kuomba msamaha mbele ya wife wake kuwa jana alivoniazima gari nilifanyia ufuska ila kuna malipo kidogo ya kunipoza
ehehe yanaweza kuwa mazoea ya twitter pia,wingi wa maneno yanajaaa sana,thanks hata hivyo kwa msaada.demu kwa gari, underwear kwa gari. Hicho ni Kiswahili kibovu cha kikenya. kwa inapaswa iwe kwenye. Samahani lakini.
picha ipi tena mkuu?Weka picha
hili jibu lako simchezo,wife kaapa,na yeye atatafuta wa kumpozaKwani shida iko wapi si aendelee na michepuko tu. Huyo mke amwache apoe kwanza.
kutesa watoto hiiMwambie n ye asitishe huduma
Picha ya chupipicha ipi tena mkuu?
eheheheKutenda Raha Ukitaka Kutendwa Wewe Una weweseka Nyambafu Chuma Chuma
chafu fulani hivi,haifai kuwekwa hapaPicha ya chupi