Malcolm X5
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 1,639
- 2,752
Habari zenu waungwana,
Nina kisa leo kimetokea kidogo kitoe taharuki mtaani,
Nina jirani yangu amekutwa na mkasa,jana alitoka na gari yake,
Akiwa mtaani akapiga demu kwa gari,demu akaacha nguo yake ya ndani,
Mshikaji sababu alilewa sana,akasahau hata kuchungulia ndani ya gari,
Wife kaamka kapekua,kutana na kitu aisee,
Wife kamwambia mambo ya kitandani na wewe tena basi,tulee watoto finish
Jamaa anawaza afanyeje,atokeje
Ushauri kama upo.