Wife amenishauri nisiwe na mazoea na bar maids

Wife amenishauri nisiwe na mazoea na bar maids

Nikitoka na wife huwa naenda bar mpya. Nikienda bar zangu nahisi atazimia kabisa maana huwa wananihug kinomanoma
 
ushauri mwingine unachanganya na zako!
 
Za kuambiwa changanya na zako! Wife kaona dalili za kuhatarisha maisha yake kwa kumletea miwayawaya nyumbani.
 
Ana maanisha kwamba... [emoji848]Eh nimeshasahau nilichotaka kuandika
 
Bar unakua na mazoea na kaunta tu...hao wa nje achana nao
 
Back
Top Bottom