Wife amenishauri nisiwe na mazoea na bar maids

Wife amenishauri nisiwe na mazoea na bar maids

Namlaumu mkeo kwa kuolewa na bata kama wewe, ina maana hakuona wanaume wengine wenye uanamume?
 
Bar unakua na mazoea na kaunta tu...hao wa nje achana nao
This is what i do. Na huwa naamini kautaz wana akili kuliko hawa wa nje coz huwezi meachia kilaza biashara ya mamilioni au malaki. Pia hata kama siku umefulia ukiwa close na kaunta hakuna shida unakunywa unakija replace siku ingine.
 
Hakikaaa.... mimi sina mazoea na barmaid hata mmoja..ila kaunta lazima awe karibu yangu kwa njia yoyote ile
 
Asikupangie mkuu wewe endelea kuwazoe tu,maana hao ni kama sipea taire
 
Mambo wakuu.?
Nimepita bar flani na wife kusuuza koo..ameona kuna baadhi ya bar maids flani wa kike wamenizoea sana kwenye hiyo bar,ghafla akanishauri nipunguze mazoea nao.
Atakuwa ana maana gan wakuu?

Kuna siku utakuja kutafuna
 
Back
Top Bottom