Wife ana Rubella ipi tiba sahihi?

Mwinyi_tza

Member
Joined
Oct 9, 2018
Posts
23
Reaction score
5
Wakuu Salama ! Mke wangu amegundulika na Vimelea vya Ugonjwa wa Rubella, vinavyo sababisha kila akishika Ujauzito unatoka, hatuja bahatika kupata mtoto.

Chonde Msaada tutani.. Je atumie tiba gani? Au tufanye nini ili apone hayo Maradhi?
 
Poleni sana wakuu.. Hao waliomgundua kuwa ana hivyo vimelea wamekuambieni mtumie njia/dawa gani ili ajitibu na muweze kupata mtoto?
 
Daktari wake amesema Vimelea vitaisha vyenyewe kwa sababu huo ugonjwa haina tiba Zaidi ya chanjo.

Alitushauri turudi kwake baada ya miezi miwili atampina tena ili kuona kama Vimelea vimepungua ama kuisha Kabisa.

Kwa sasa alimpatia vidonge vya kuongeza vitamin ambavyo ni alpha E.
 
Kamilisha kwanza haya matibabu, ukiona no mabadiliko, urudi hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…