Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,746
Mpaka umtafutie mwenzio midhambi ya kusema uongo kila siku kwa nini? mi nadhani mtu akitaka kwenda kwenye mambo ya hovyo ataenda tu, uwe mkabaji au la.............. tena wengi tu wanaanzia juu kwa juu, siyo lazima atokee nyumbani.
mimi wangu, safari advice anajisainia mwenyewe, huwa tunapeana taarifa tu kuwa leo nitakuwa kiwanja hiki. kwangu mimi la muhimu ni kutoa taarifa, siyo nipo nyumbani mpaka saa 3 mtu hajatokea bila taarifa hii huwa inanipa wasiwasi kuwa anaweza akawa na matatizo. lakini akiniambia, najua yupo mzima wa afya, aende tu. ndo maana kila mtu ana mwili wake jamani, hata tukioana kila mtu anabaki kuwa yeye...............