Wife anakukera kwa kutaka uwepo home all the time? Mwarubaini huu hapa...

Mpaka umtafutie mwenzio midhambi ya kusema uongo kila siku kwa nini? mi nadhani mtu akitaka kwenda kwenye mambo ya hovyo ataenda tu, uwe mkabaji au la.............. tena wengi tu wanaanzia juu kwa juu, siyo lazima atokee nyumbani.
mimi wangu, safari advice anajisainia mwenyewe, huwa tunapeana taarifa tu kuwa leo nitakuwa kiwanja hiki. kwangu mimi la muhimu ni kutoa taarifa, siyo nipo nyumbani mpaka saa 3 mtu hajatokea bila taarifa hii huwa inanipa wasiwasi kuwa anaweza akawa na matatizo. lakini akiniambia, najua yupo mzima wa afya, aende tu. ndo maana kila mtu ana mwili wake jamani, hata tukioana kila mtu anabaki kuwa yeye...............
 

Kweli kabisa FP Kuna kaka mmoja alikuwa anakabwa sana na wife cku moja akaenda nae bar wakakuta watu wamekaa kikundi wanakunywa na kufurahi wanataniana na mambo mengine mengi lakini wala hakuna aliekua amekaa na mwanamke sasa jamaa akamwambia mkewe hao wote unaowaona wana wake zao nyumbani lakini hawajaja nao sometimes tunahitaji kuwa huru wenyewe sasa wewe kila cku nikitaka kutoka unakaba na kusema naenda kwa infi mbona hao wako peke yao wanafurahia tu maisha? bac wife ikabidi atulize mpira na mpaka leo wanaishi kwa amani kikubwa kama alivyosema FP ni taarifa tu tupeane taarifa na usizidishe sana kisa umepewa uhuru kwanza wkt mwingine baba akikaa nyumbani anakera watu tunataka kuangalia tamthilia yeye anaweka ma bbc, mara sky news mara aljazera mradi kero tu so uhuru mtapata ila muutumie vzr
 

maty u deserve one big round of applause
 
Hiyo inafanana na kuaga unakwenda shop kumbe unatka kwenda pga cm jana wife akadai twende wote nikaishiwa pozi.
 

rose
uko right kama mwanaume ni firauni ni firauni atakuja na mbinu zote..kuna kadada kamoja cha baclays bank kalipoolewa kakajua kameoa...kakambana san mshkaji..unajua hizi nazo zinachangia nyumba ndogo kutengenezwa...alimbana kupita maelezo yule kaka akaishia kujiuliza nimeoa nimeolewa..akiondoka asb simu mfululizo kwa kwenda mbele..umeshaoka umepanda basi tayari..wametune clouuds ama,,wambie wakuwekee kibonde....jamaa alikuwa anachukuliwa saa mbili na gari alipoona isiwe taabu akawa anaamka saa kuminambili anaenda kinondoni kwa bibi mdogo akamwelekeza dreva awe anamchukua moja na nusu asb pale mkwajuni so u can imagine...so mpaka leo yule kaka anamka asbh anaenda kwa bimdogo anaelekea kazini;nyie madada watchout angalien jamani msitenganishe ndoa zenu.kuna mbinu nyingi za uhalifu wa ndoa.we mwombe mungu mwenzio atokwe na pepo la uzinzi
 

thanx for the support Maty. unajua sidhani kama kuna mtu anataka kupoteza uhuru wake kwa jina la kuoa/kuolewa. Imagine na wewe mumeo akufanyie hivyo, kila ukitaka kwenda kwa rafiki, na yeye; kwa mama mdogo, na yeye; labda kama hiyo safari umepanga muende wote, lakini siyo anaenda nawe ili akuchunge. swala ni kuaminiana tu. kwanza mimi sijisikii amani kabisa kwenda naye kwenye vikao na rafiki zake, watu wanakosa uhuru wa kuongea kisa shem yupo. kama mume sio mwaminifu ndo yupo hivyo, hata ukabe vipi atachomoka tu
 

sasa umeanza kukua mdogo wangu!!!!
 

Wake wote wangekuwa kama wewe mbona dunia ingekuwa poa, kungekuwa hakuna cheating na kila mwanaume angeoa. Kuna wake ni kama manyapala hata kuangalia TV uliyonunua mwenyewe ni tatizo.
 
Ha ha ha ahaa !!!:smile-big:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…