sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,419
Anauza voda fasta.Kwa hiyo usingekuwepo kusumbuliwa ingekuwa sawa? Mkeo anauza tigo-rusha, ama jamaa kapataje namba? Ongea na mai waifu wako akuambie uzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anauza voda fasta.Kwa hiyo usingekuwepo kusumbuliwa ingekuwa sawa? Mkeo anauza tigo-rusha, ama jamaa kapataje namba? Ongea na mai waifu wako akuambie uzuri
kuna ka mtihani kananiumiza kichwa kidogo...
kuna jamaa amehamia hapa mtaani kama mwezi mmoja hivi.
baada ya wiki wife akaniambia huyu jamaa anamsumbua kwa kumpigia simu za kumtaka...
nikamwambia aachane nae.
sasa jana nimeshika simu ya wife nimekuta kuna sms za kumtukana jamaa. sasa nipo sielewi nimuadhibu wife kwa kuendelea kuwasiliana na jamaa au nimuadhibu jamaa kwa kutaka kuharibu nyumba yangu.
NIPO NJIA PANDA