Wife hapendi niwe namchungulia utupu wake

Wakuuu

Sijui wife kawaje siku hizi,yani hapendi kabisa niwe namchungulia yake.

Naumia sana
Hii kauli imekaa kishetani shetani kabisa hii.

Nijuavyo mimi, kuchungulia ni kutazama kitu au mtu kwa kuibia na kwa shida shida, tena kwa kupitia upenu flani ili kuona image/object!

Sasa mkeo unashindwaje kumwangalia freely hadi umchungulie?

Mnaoa kabla hamjakomaza akili zenu vijana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…