pole sana ndugu......
Kwenye ndoa mwanaume lazima uwe mwanaume, si mkimabavu la hasha........
Mke keshabadilika kaa nae zungumza nae mwambie mabadiliko yake, mueleze wazi na mwambie hao walimu aliowapata mtaani watamwaribia ndoa yake.........
Kuhusu gari, mweleze wazi aweke mafuta mwenyewe akikataa lichukue mpatie driver aifanye tax au ukiona atamsumbua dereva uza gari......
Baadhi ya wanawake wanadanganyana sana mitaanimau kwenye facebook groups na kama mke hajui kuchanganya na za kwake ndo matatizo yanapoanzia......... Mrekebishe