Mkuu hapo umenena.. Kiukweli unatakiwa ukae naye chonjo maana kwa sasa huyo mkeo anakiburi kwa kuwa anajua ana haki zote hapo, hata we ukitaka kutengana naye anajua ni lazima mtagawana Mali tu..hii pia inaweza kuwa chanzo cha yeye kuwa na kiburi..vinginevyo atakuwa na kidumu huyo.kwa ufupi kuna 'kidumu'take care...
taja kabila lake tafadhali..!!
Tugeneralize mambo..
Atleast nimejua kuwa siko peke yangu.,unachokisema ni kweli mkuu, lili fumbo la "wawili watakuwa mwili mmoja" huwa linaishia pale pale kanisani.
Duh, haya makubwa tena.
Mkuu hapo umenena.. Kiukweli unatakiwa ukae naye chonjo maana kwa sasa huyo mkeo anakiburi kwa kuwa anajua ana haki zote hapo, hata we ukitaka kutengana naye anajua ni lazima mtagawana Mali tu..hii pia inaweza kuwa chanzo cha yeye kuwa na kiburi..vinginevyo atakuwa na kidumu huyo.
pole sana ndugu......
Kwenye ndoa mwanaume lazima uwe mwanaume, si mkimabavu la hasha........
Mke keshabadilika kaa nae zungumza nae mwambie mabadiliko yake, mueleze wazi na mwambie hao walimu aliowapata mtaani watamwaribia ndoa yake.........
Kuhusu gari, mweleze wazi aweke mafuta mwenyewe akikataa lichukue mpatie driver aifanye tax au ukiona atamsumbua dereva uza gari......
Baadhi ya wanawake wanadanganyana sana mitaanimau kwenye facebook groups na kama mke hajui kuchanganya na za kwake ndo matatizo yanapoanzia......... Mrekebishe
kwa ufupi kuna 'kidumu'
take care...
Mkuu hapo umenena.. Kiukweli unatakiwa ukae naye chonjo maana kwa sasa huyo mkeo anakiburi kwa kuwa anajua ana haki zote hapo, hata we ukitaka kutengana naye anajua ni lazima mtagawana Mali tu..hii pia inaweza kuwa chanzo cha yeye kuwa na kiburi..vinginevyo atakuwa na kidumu huyo.
kidumu!!??? me cjakupata mkuu...