Wife kaninunia tena.

Wife kaninunia tena.

Mimi ndio mkorofi mzee[emoji23][emoji23] nikifanya hivyo nitakua namuonea
Muombe msamaha, mchekeshe, msifie sifie, Kama nyonyo limeharibika msifie msambwanda....la sivyo huyo kaliweka rohoni, na siku akikutana na mjuba akamsifia anapenda manyonyo makubwa.....umeishaaaa!
Ziba Ufa mapema.
 
Ni wiki sasa tangu nilione tabasamu lake, kilicho baki ni misonyo tu ndani ya nyumba.

Sababu kubwa ilio pelekea hiyo hali ni muvi ile ya bushmen (The gods must be crayz). Ilikua ni usiku tuaiangalia ikafika ile sehemu ambayo bushmen amarokota chupa na kuipeleka nyumbani.

Sasa alivyo ipeleka nyumbani familia yake ikawa inashangaa kwenye ile familia kulikua na binti mmoja anachuchu konzi zime simama haswa na nzuri. Si nikajikuta nimeropoka kuwa yule bint anachuchu nzuri basi hapo ndipo nilipo zima tabasamu la mke wangu mpendwa hadi leo. Na sijui naliwashaje tena. Maana hadi sasa vituko vyangu kwake na vikomedi vya hapa na pale wala havimchekeshi tena. Ni misonyo tu ndani.

Deepdown nawapenda sana wanawake vimodo wenye nyama nyama. Na wife alikua mmoja kati yao ila baada ya kunitotolea aisee amekua mbonge hatari na kwa sababu mimi ni chanzo cha ubonge wake nimeamua kukubaliana na hali yake kiroho safi.

Oneni na nyie

NB
Napenda muvi za kitambo cos zina uhalisia mwingi sio kama huu uchafu wa sikuhiziView attachment 2481287
Ficha upumbavu wako

Issue za ndani ni zandani

Unaaibisha wanaume sana we bwege
 
Muombe msamaha, mchekeshe, msifie sifie, Kama nyonyo limeharibika msifie msambwanda....la sivyo huyo kaliweka rohoni, na siku akikutana na mjuba akamsifia anapenda manyonyo makubwa.....umeishaaaa!
Ziba Ufa mapema.

Interesting
 
Ni wiki sasa tangu nilione tabasamu lake, kilicho baki ni misonyo tu ndani ya nyumba.

Sababu kubwa ilio pelekea hiyo hali ni muvi ile ya bushmen (The gods must be crayz). Ilikua ni usiku tuaiangalia ikafika ile sehemu ambayo bushmen amarokota chupa na kuipeleka nyumbani.

Sasa alivyo ipeleka nyumbani familia yake ikawa inashangaa kwenye ile familia kulikua na binti mmoja anachuchu konzi zime simama haswa na nzuri. Si nikajikuta nimeropoka kuwa yule bint anachuchu nzuri basi hapo ndipo nilipo zima tabasamu la mke wangu mpendwa hadi leo. Na sijui naliwashaje tena. Maana hadi sasa vituko vyangu kwake na vikomedi vya hapa na pale wala havimchekeshi tena. Ni misonyo tu ndani.

Deepdown nawapenda sana wanawake vimodo wenye nyama nyama. Na wife alikua mmoja kati yao ila baada ya kunitotolea aisee amekua mbonge hatari na kwa sababu mimi ni chanzo cha ubonge wake nimeamua kukubaliana na hali yake kiroho safi.

Oneni na nyie

NB
Napenda muvi za kitambo cos zina uhalisia mwingi sio kama huu uchafu wa sikuhiziView attachment 2481287
Toroka urudi kwa mama yako.Mkomeshe!
 
Siku na yeye akiona movie ya Mandingo akamsifia usiwe mnyonge bro.
Halafu hivi vitu havina muda, sasa hivi yeye kaharibika mwili Kwa uzazi (linarekebishika though, kuna gym na diet) Ila wewe muda unavyoenda nguvu zitaisha, vipi akianza kusifia kuwa kasikia kuna wanaume wanaupiga show masaa mawili non stop? Wakati huo wewe hiko kimoja mtihani?
Tujifunze kudhibiti ndimi, maneno yanaishi moyoni muda mrefu sana.
Mandingo 😂😂😂😂😂😂😂..... dah
 
Mbna atafurahishwaaa soon, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani yeye ni umoja??
Raha ya umoja iwe namba kubwa hadi ikufunike uso ushindwe kupumua uzimie ufe mkeo abaki mjane aolewe narafiki ako
 
Siku na yeye akiona movie ya Mandingo akamsifia usiwe mnyonge bro.
Halafu hivi vitu havina muda, sasa hivi yeye kaharibika mwili Kwa uzazi (linarekebishika though, kuna gym na diet) Ila wewe muda unavyoenda nguvu zitaisha, vipi akianza kusifia kuwa kasikia kuna wanaume wanaupiga show masaa mawili non stop? Wakati huo wewe hiko kimoja mtihani?
Tujifunze kudhibiti ndimi, maneno yanaishi moyoni muda mrefu sana.
Kiserengeti chenye ndefu nene siyo?😅😅😅
 
Back
Top Bottom