Wife Material akuje!

Wife Material akuje!

Nahitaji mdada aliye siriasi kabisa na mahitaji ya kuwa mke wa mtu:
Sifa zangu:
Miaka 40
Elimu : shahada ya kwanza
Dini : mkristo ( mkatoliki)
Kazi : mtumishi wa umma pia mjasiriamali
Location : Dar Es salaam
Mchumba awe angalau na sifa hizi
1. Awe mkristo ispokuwa msabatho
2. Umri kuanzia miaka 30 mpaka 38
3. Kazi awe nayo au asiwe nayo haina shida
4. Elimu walau kidato cha nne
Mengine ni maelewano na kujifunza maana kila kitu kinawezekana
Karibu I
Kabila please😊
 
watu wanafanya utani kumbe washaingia pm[emoji38]wanazuga kutania tu
 
Nahitaji mdada aliye siriasi kabisa na mahitaji ya kuwa mke wa mtu:
Sifa zangu:
Miaka 40
Elimu : shahada ya kwanza
Dini : mkristo ( mkatoliki)
Kazi : mtumishi wa umma pia mjasiriamali
Location : Dar Es salaam
Mchumba awe angalau na sifa hizi
1. Awe mkristo ispokuwa msabatho
2. Umri kuanzia miaka 30 mpaka 38
3. Kazi awe nayo au asiwe nayo haina shida
4. Elimu walau kidato cha nne
Mengine ni maelewano na kujifunza maana kila kitu kinawezekana
Karibu I
Kama nimekidhi hivi vigezo[emoji17]

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom