Wife material anahitajika

Wife material anahitajika

Kilimi

Member
Joined
Jan 11, 2023
Posts
80
Reaction score
110
Ninaumr wa miaka 34 ,ni muajiriwa NGOs Nina mtoto mmoja ,mrefu kiasi Sina gari,Sina nyumba nimepanga naish dsm

Kama unajua unataka kuolewa na unaumri 27 yrs nicheki, ila uwe na vigezo hivi;

1. Mkristo
2. Uwe tayari kuolewa sio unakuja kwangu kujua
3. Mvumilivu
4. Uwe tayari kuanza nilipo chini au juu vyovyote
5. Uwe msafi
6. Elimu yoyote
7. Uwe na uzoefu wa mahusiano yasio pungua 2 yrs
8. Uwe single
 
Hivi mbona mtaani madem kibao na wakali, binafsi nashangaa sana mtu anayetafuta mpenzi mtandaoni hususani kwa sisi waafrica.

Kwanza mwanamke miaka 27 kuendelea mbona kama unanunua gazeti jioni.
 
Umezaliwa kuna Watoto wa kike wa nduguzo wa karibu au mlicheza nao wa majirani na mtaani au mlikuwa nao kanisani Sunday school,choir nk kanisani au mumesoma nao chekecheea ,Shule ya msingi,sekondari na vyuo nk au mumefanya kazi pamoja

Bado huko kote hujapata wife material shetani mtoto wa shetani wewe Hadi ulete tangazo humu?

Wewe una shida na nashauri Wanawake wakukwepe kama ukoma
 
Mkuu ukitaka kuoa jitahidi uwe na kagari alafu jitahidi uwe umeshanunua kiwanja na umeweka hata msingi au umepandisha hata tofali 4
Utakuja kunishukuru.


Ila sasa mkuu mpka 34 hujaoa huna nyumba huna gari hata mali pia huna dah unakwama wapi asee hawa dada zetu ni viumbe wa kutunzwa sasa nyumba ya kupanga si ataingia majaribuni au afuate mkumbo kwa majirani......
 
Back
Top Bottom