Wife material anahitajika

Wife material anahitajika

Mkuu ukitaka kuoa jitahidi uwe na kagari alafu jitahidi uwe umeshanunua kiwanja na umeweka hata msingi au umepandisha hata tofali 4
Utakuja kunishukuru.


Ila sasa mkuu mpka 34 hujaoa huna nyumba huna gari hata mali pia huna dah unakwama wapi asee hawa dada zetu ni viumbe wa kutunzwa sasa nyumba ya kupanga si ataingia majaribuni au afuate mkumbo kwa majirani......
Wasap bro, Cool there in USA 🇺🇸 ??

Namaanisha umeandika hii kutokea huko USA au ukiwa hapahapa TZ
 
Ukitaka uwavute weka tangazo salary scale Yako kwa mwezi 20m uone watakavyojaa inbox
 
Only Qualified Experienced Applicants will be considered [emoji57]
Yani wew ndio umenielewa ...unafaa kuwa auditor kwenye KAMPUNI yangu nimepitia comment huku nimecheka sana ....na kama wanawake wote wakichukua mawazo kama Yako kitakuwa na familia ambayo ina coordination nzuri ...in short mim staki mpenz nataka mke ....noted above

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Umezaliwa kuna Watoto wa kike wa nduguzo wa karibu au mlicheza nao wa majirani na mtaani au mlikuwa nao kanisani Sunday school,choir nk kanisani au mumesoma nao chekecheea ,Shule ya msingi,sekondari na vyuo nk au mumefanya kazi pamoja

Bado huko kote hujapata wife material shetani mtoto wa shetani wewe Hadi ulete tangazo humu?

Wewe una shida na nashauri Wanawake wakukwepe kama ukoma
Hongera mlevi kwa maoni yako tumeyapokea
Lakini si vizuri kumwita mtu shetani kisa ametafuta mchumba hapa jf maana hajavunja sheria za nchi wala za jamii forum.
 
Back
Top Bottom