Unajua kibaya zaidi juice yenyewe wamenunua majirani zangu na sijanunua mimi maana aliuliza huu uchafu nani kaleta akaonyeshwa wale majirani zangu yaani ubinadamu kazi jamani
Maisha yamebadilika pindi alipo pata ukurugenzi basi amekuwa juu dharau ndo kabisaaa siku akiukwaa uwaziri au ukatibu mkuu sijui itakuwaje
Pole mwaya, uwe unaenda kumuona kaka yako tu vitu vingine kuhusiana na wifi yako jaribu kumpotezea maana ana dharau sana. Naona hizo hela/cheo zinampa dharau sana. Ila zina mwisho wake!!!!!!
Duniani sisi tunapita tu na hizo hela tutaziacha hapahapa!
You guys have issues.
Juzi unelalamika na leo tena umerudi.
Umeshamweleza yeye kwamba hufurahii anavyokufanyia au unaishia kunong'ona tu pembeni?
Kama kweli anakukera ongea nae. . .kulalamika hapa tu hakiwezi kumbadilisha.
We nae unaonekana una wivu sana
ukurugenzi wa wifi yako unakukatisha mauno ya nini?
Piga kazi na wewe uwe kameneja angalau
kutwa kucha kutuchoshwa na malalamiko ya kitoto ya wifi yako
kaa kwako ulee familia yako wifi yako hakutaki
uko so obsessed na mafanikio yake
she has made it deal with it.