snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,065
- 24,559
why the surprise?
im not
was just agreeing with yu!the lady was a super diva when it comes to tanzanian music!
her voice was like daaaah!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
why the surprise?
im not
was just agreeing with yu!the lady was a super diva when it comes to tanzanian music!
her voice was like daaaah!
Viti hivyo bado vinapatikana katika baadhi ya Bar kongwe hapa nchini kama vile Gofu Club - ZenjYou will grow up some day.......see her here in 1990...there were no plastic chairs in BARS by then........she was our JAY DEE of that time
hebu nionyesheni mkuu wa mkoa wa sasa wa ruvuma said mwambungu katika picha hii.atakayeshinda nampatia preta kwa weekend yote (three days)
![]()
said mwambungu kwa sasa
![]()
oh, ok - if my memory is correct that is the nickname they gave to her i.e. stone lady
naelewa mazoea yana taaabu, lakini nitajitahidi kusahauuu...
Amezungukwa na watu watano waliowekewa alama ya x upande huo wa kushoto. Nyuma yake kuna mtu aliyeshikana na mwenzake mkono wamenyanyua juu. Mie nimo katika kundi hili ndio maana nakumbuka enzi hizo Chama kiliposhika hatamu na siyo utamu.Hebu nionyesheni Mkuu wa Mkoa wa sasa wa Ruvuma SAID MWAMBUNGU katika picha hii.atakayeshinda nampatia PRETA kwa weekend yote (three days)
![]()
Said Mwambungu kwa sasa
![]()
So the rumors kuwa ndio aaliyemuambukiza chiriku kale kaugonjwa kwa nyumbani kumbe si za kweli?
Bado anadunda
![]()
kwanza mngejuliza ?kipi amenipendea na mapenzi hayana dawa?
kiida nifanye nini oooh nifanye nini?
naelewa mazoea yana tabu lakini nitajitahidi iii kusahau!
ahahahhahahhhhaha wen MUSIC WAS MUSIC bana!
Thats some IDEA may dear man!..I like the guy in the left....his name is PATRICK STARR
![]()
ni huyo aliyevaa shati ya bluu, yupo nyuma ya huyo jamaa aliyevaa shati jeupe na kuwekewa x na huyo mwingine mwenye shati ya bluu amabaye naye kawekewa xHebu nionyesheni Mkuu wa Mkoa wa sasa wa Ruvuma SAID MWAMBUNGU katika picha hii.atakayeshinda nampatia PRETA kwa weekend yote (three days)
![]()
Said Mwambungu kwa sasa
![]()
Teh teh teh we jamaa ha ha ha haaaaaTutaongea na Mods wawafungulie jukwaa la cartoon network.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums