Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Habari ndio hiyo. Game dhidi ya Bolivia. Katupia goli 3 na kutengeneza mawili kwenye ushindi wa goli 6.
Jana usiku MSL huko Marekani. Inter Miami ilitanguliwa goal mbili, King Messi akiwa bench. Alipoingia kipindi cha pili katia kambani goli 3 na assist moja kwenye ushindi wa 6-2.
Still Magician. Messi🐐🐐