Wiki hii ama siku zifuatazo Jamvi litachanganya kichizi

Wiki hii ama siku zifuatazo Jamvi litachanganya kichizi

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka sana wanaJamvi.

Kwa kuwa kumbusha tu 2013 Jamvi lilichanganya balaa ni ishu ya leprofeseli Kapuya Hadi server ilikuwa overwhelmed.
2014 ishu ya Escrow pia.
2015 rais wetu Lowasa alivyoaamia Chadema ilikuwa tukio la aina yake. Jamvi lilipuka.

Mwaka huu empty head zero brain Na vyeti feki Bashite Jamvi lilipuka.

Dada wa Taifa, National Treasure Na potential Times person of the year contender Mange Kimambi (Masters) alitingisha Jamvi balaa humu.

Naam sasa wiki hii ama siku zijazo topic mbili zitatikisa Jamvi Na Jamvi litachanganya kweli kweli. Yani hapa dogo atumwi dukani. Ni repoti ya CAG Na video ya mpambanaji potential Noble peace award contender Braza TAM. Lissi atakapofanya mazungumzo Na vyombo mbali mbili. Yani nitasingizia naumwa nipate sickleave ili kila mada Na Michango niipitie ilimradi tu nijiridhishe.

Sijui sasa hivi team makinikia watatoka Na Kiki gani. Manake hawa jamaa kwa drama tu.

Ni Mimi mtaalam wa kufundisha samaki kuogelea Na mbeba boksi aliyekubuhu.

Dadadeq!
 
Tetetetrtrt serikali ya ccm na polise ccm na yule kubwa jinga wakisikia hivyo roho zao zinadunda dududududucu



Swissme
 
Tetetetrtrt serikali ya ccm na polise ccm na yule kubwa jinga wakisikia hivyo roho zao zinadunda dududududucu



Swissme
Yani Bashite bana utadhani ni Atlas wetu kashikilia bongo kwa mikono Na mabega akiachilia mbingu itadodondoka. Anajivisha makuu Na kupenda sifa za kijinga
f6bc1c13187f766e20e3d04ebcb6f589.jpg
 
kweli kabisa zitakua wiki ya nenda kwa usalama
 
Usimsahau na kijana wa Kigoma nae kawasha moto
 
Asavali maana hata mzee wetu mchunga kundi lake mwenyewe pale uzimani mwa ufufuo haamshi tena wala nini,jukwa limedoroooora ! Mpaka linaboa.
 
Sawa mbeba maboksi kutoka ughaibuni...wasalimu sana
 
Back
Top Bottom