Kitchener JF-Expert Member Joined Apr 10, 2019 Posts 13,833 Reaction score 27,753 Aug 5, 2025 #1 Polepole alianza kutamka neno hili "wahuni" kitambo sana, ila watu tulikuwa hatujamwelewa. sasa, naelewa, wahuni ni nani na ameanza kupambana nao lini.
Polepole alianza kutamka neno hili "wahuni" kitambo sana, ila watu tulikuwa hatujamwelewa. sasa, naelewa, wahuni ni nani na ameanza kupambana nao lini.
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 27,705 Reaction score 65,343 Aug 5, 2025 #3 Polepole katambua uwepo wa wahuni baada ya yeye kuondolewa kwenye sufuria la madaraka? Kwann hakulqlqmikia udikteta wa Magufuli ??
Polepole katambua uwepo wa wahuni baada ya yeye kuondolewa kwenye sufuria la madaraka? Kwann hakulqlqmikia udikteta wa Magufuli ??
E EMACHA JF-Expert Member Joined Jul 16, 2021 Posts 956 Reaction score 1,784 Aug 5, 2025 #5 Tumeshuhudia Wahuni wakihuiana..!