Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,798
Cg keshakuambia na wala mi sio kishua nikiwa dar mi mtoto wakwatumboo upo hapo kijana so usiwe muoga we fanya hima uende 5000 yako uweke 1000 kwa siku tano hiyo hapo nenda pale au sio ishi ukuja ntakupeleka
we c mtoto wa twn, maisha bora lunch mboga nane.. Bt ntaktafta unshke mkono twende.!!! vp hao maidz wanajua kswahil, maana lugha zingne zilikuja na ndege
teh yangu machoWe jitoe tu, nikipitisha fagio la chuma haliachi mtu.
Chesea pesa yangu, hapana chesa na mke wangu.
teh yangu macho
teh yangu macho
Hehehhehehe bado jana mi nilichoka ila leo ,mpango mzima mjr ajipange kumuona b nasty haahhaawandugu mbna hamtupi fdback? Mjr na beibe.nasty?
Hahahahaaaa sweet covering
52 uknw ilivokua ngumu kwa jg kuniconvice mpaka kikaeleweka siwez muacha kwenye mataa hata kidogo sema hayupo hapa kaman looh ngemchumu mim aaaah shem usinifanyie hivoo
JG in the house....vp appointment yenu na Mjr bado ipo..?Hehehhehehe bado jana mi nilichoka ila leo ,mpango mzima mjr ajipange kumuona b nasty haahhaa
Huo umbea sasa...........
Huo umbea sasa...........
Ila uzuri shem wangu yuko vizuri kwa msimamoIssue sio umbea! Issue ni wewe ! Kwamba kama maelezo ya picha huyaoni basi angalia picha .
Ila uzuri shem wangu yuko vizuri kwa msimamo
Ok 52 mambo? Arif nilikua pembezoni mwa Tz kidogo, kwa few dyz hapakua na ntwk, nimekusoma mkuu!
Angejua Shughuli ilivyokua days past hadi halua tukaipata kisosini asinge try kubofyabofya! Bt atakua ameelewa hopely .
Mambo pouwa JG...dah huwa unapotea sana...siku nyingine uende na mkeo aisee hili suala la kulinda gumu jamaa hawakawii kunipiga bao