beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 525
Kwani hujui Mti wenye mifruti ya ukweli !
Mitunda ya adabu ndiyo unaosukumiwa mastone ?
Bt kwa ile miti ya barabarani owned by municipal, huu mti uliyoutolea mijicho koddo uko within compound! Ndani ya geti.
Huogopi ? Au umejiandaa ?
Hivi hujajistukia kama una rap sana halafu mi wala sisemi kitu? ACTIONS DO THE TALKINGSio mijicho tu!
Na hiyo mimate inavyokuvuja ? Kwa kujidanganya kuna finyango itadondoka! Tafuta apron utaroana kifua mimate itakuchuruzika sana!
Hapa hakidondoki kitu!
Utaniona soon najilia firigisi kiulaiiyyniiiii, kama napaka siagi sles vile !
Menuna mim siwez kukaa siku zote hiz waondoka bila taarifa kwangu halaf unaisingizia network sitaki nakuambia we mwenyewe unajua ulivonizoesha leo hii waanzaje kuondoka bila kusema? Ntaenda kwa wakwe shauri yako
Cool down bhanaa usiende !
Haya tunayamaliza wenyewe, ngoja kwanza nifungue mibox ya zawadi afu tena ... Alafu tena ... Naniliu ... Nikupe bagah si ndiyo ?
Uile bado ya motomoto si eti eeh ?
Ikipoa microwave imeharibika tangu juzi utaila imepoa!
Hivi hujajistukia kama una rap sana halafu mi wala sisemi kitu? ACTIONS DO THE TALKING
Kama huwezi kulinda mti wako wa matunda ukutani mwako, wajanja watapopoa tu na kuyafaidi.......Mkuu, ku'rap ni moja ya utamu wa ChtCht !
Au wewe umekwazika ?
ChtCht kama lilivyo jina la jukwaa miondoko yake ndo ya kihivi! Ukimuona mtu anapanic hapa jua hajalijua purpose ya jukwaa vizuri!
Kiivo ndiyo utamu wa Uzi !
Alafu mleta Uzi ndo una'lead kuuchakachua!
Back to the mada
Sidanganyiki na baga kwani sh ngapi we namna gan wewe mi mpaka nilalamike hiv mtoto wamwanaume mwenzio au utanifuata kwetu. Sasa sijui utaanzaje kwa mama kumbena
Kama huwezi kulinda mti wako wa matunda ukutani mwako, wajanja watapopoa tu na kuyafaidi.......
Unatumia technique inaitwa long range..............hakwamani mtu hapoHata ya ndani ya uzio ?
Si utakua mwizi ?
Wana'nzengo wenye hasira kali watakuponya ?
Na hiyo ni external view !
Internal view kuufata mti wa watu huogopi kukwamana ? Hiyo ndiyo currently difensive mechanism!
Beibe!
Kama mistari ya kujieleza nimeishusha vya kutosha.
Kama kuku'pliz nimefanya vya kutosha.
Mizawadi chekwaa beibe husomeki!
Think there is somethin' behind !
Yaishe sasa nshamsamehe mahabubaa jamaniii khaaa mlifurahi eeehUnatumia technique inaitwa long range..............hakwamani mtu hapo
Ulintafuta mwenyewe na nikua nataka nawe uumie any way hun wangu umeniletea dhawad ipi baba mbona hujaniletea nyama ya poriii jamn
inaitwa kimoro
Yaani wakati unanipelekesha hadi ukanifanya kichwa ku'loose roadmap suddenly! Umenifanya hadi nimejikuta nimenunua vocha za Tigo instead of Vd nnayotumia!
Basi Beibe umesema unataka nyama ya pori, usijali this wikend naenda Kijereshi just a particular huntin' trip kwa hilo!
Kwa leo nikupe nyama gani ?
Iliyopo karibu!
Talk please Nasty!
Umenifanya ntoe chozi kwakucheka haaaaaaa ndo mana nakumith hunpie well unajua ntakua memic nin kwako na ulinzoesha nin
Haswaa!Hayaaa alikuwa na hofu mwenyewe tu...........JG umesamehewa bhana mi nakaa kimya sasa
Yaishe sasa nshamsamehe mahabubaa jamaniii khaaa mlifurahi eeeh
Ungezidisha kukomaa leo ningehamia fcbk ! Ingekua potelea mbali, umenifanya nimetoka hom na soksi rangi tofauti, moja blue na nyingine gray! Chezeiyya malavidavi weyyee!
Usipime hii makitu! Muulize Lulu ana majibu sahihi zaidi.