MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Wiki ijay Viwawa wa parokia yetu tutakuwa tunasafiri kuelekea Wales kwa mualiko wa Viwawa wa parokia ya Llanfairpwllgwyngyllgogerychwyrndrobwllllantysiliogogogoch.
Safari hii itakuwa ni ya mara ya 3, nyingine zilikuwa mwaka 2000, 2016. Pamoja na mambo mengine nitakuwa naangalia na fursa za uchumi.
Mwenye uzoefu wa Llanfairpwllgwyngyllgogerychwyrndrobwllllantysiliogogogoch atupe ushauri wa nini tutegemee kukutana nacho kwenye safari yetu.