Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
[h=1]Uhuru, Ruto prepare to tour Nyanza[/h]
By John Oywa
KENYA: Jubilee Alliance presidential candidate Uhuru Kenyatta is organising an elaborate campaign trip to Nyanza, the home turf of his main challenger- Prime Minister Raila Odinga.
Source at Uhurus campaign secretariat told The Standard on Thursday that Uhuru and his running mate William Ruto will be flying to the region next week for campaign rallies in Migori, Homa Bay, Kisumu and Siaya counties.
Ila huko nako si wako wanao muunga mkono Uhuru? au ni 100% wanamuunga Omoro
Rutashubanyuma. karata yako Mzee iko wapi. CORD au JUBILEE!!?
Waheshimiwa kama vurugu huko hazitatokea basi mjue uchaguzi huu utakuwa huru na amani
Waheshimiwa kama vurugu huko hazitatokea basi mjue uchaguzi huu utakuwa huru na amani
So what...!Ni mkikuyu huyo.......lol
Rutashubanyuma. karata yako Mzee iko wapi. CORD au JUBILEE!!?
Ruta rejea tena kauli yangu huko nyuma! Nilishakwambia kitendo cha Raisi Obama kujitokeza hadharani kuhusiana na uchaguzi wa hawa ndugu zake, tayari CIA wameshajua what will folllow! Stay Tune!
Yaa! kweli kabisa, kama wanataka amani sehemu kama hizo ni kupiga kampeni za busara ili kuwapa imani wale wachache wao basi. Haiwezekani wote wakampenda. Hata jirani yake adui anayemhisi mchawi!!
Ruta rejea tena kauli yangu huko nyuma! Nilishakwambia kitendo cha Raisi Obama kujitokeza hadharani kuhusiana na uchaguzi wa hawa ndugu zake, tayari CIA wameshajua what will folllow! Stay Tune!
RealMan hivi kuna wahaya ambao ni wakikuyu pia...........................sickness beyond repair