Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha ndo maana. Huenda hata huyu dogo LIKUD ndo ilikuwa zake . Mana hata anavyoelezea apa bado yupo steem
Nipo serous kaka nahitaji kuelimika. Sema dogo anahisi nina kejeli imani yake . Siwezi vuka mpaka huo
Nimeelezea pia ktk comment yangu. Ubani unatajwa sana katika maandiko. Zamani nilikua nikiamini haya ni mambo ya kishirikina. Lakini nikaja pewa Elimu na viongozi wa kanisani vzr tu juu ya ubani. Na akanieleze ubani unavyotengemezwa kwa ile miti ya matawi. Hata mtoto Yesu alipozaliwa walimpelekea zawadi ya ubani, manemane na pesa. That means haikua kitu kibaya. Sisi wakatoliki ubani hutumika sana kanisani katika adhimisho la misa takatifu ya Ekaristi takatifu. Hutumika kupatakatifusha na kufungua anga kwaajili ya kupeleka maombi yako. Nikuambie tu, haya maombi huwa ni mazito mno. Na huwa nafanya nadra sana. Na huwa nayafanya pale napokosewa kwa mambo ya msingi. Nimewahi fanya mara 3 na nikajibiwa exactly. Kuna majirani zangu tunasali nao jumuiya walinishangaaga sana wakanambia hujua unajua hili? Ilikua mwaka jana mwishoni. Mwaka huu ndo nilisali juu ya mambo kadhaa. So ni imani hasaaa..Nipo serous kaka nahitaji kuelimika. Sema dogo anahisi nina kejeli imani yake . Siwezi vuka mpaka huo
Maelezo yako yamejirudia . Nachotaka kufahamu ni mambo 3Nimeelezea pia ktk comment yangu. Ubani unatajwa sana katika maandiko. Zamani nilikua nikiamini haya ni mambo ya kishirikina. Lakini nikaja pewa Elimu na viongozi wa kanisani vzr tu juu ya ubani. Na akanieleze ubani unavyotengemezwa kwa ile miti ya matawi. Hata mtoto Yesu alipozaliwa walimpelekea zawadi ya ubani, manemane na pesa. That means haikua kitu kibaya. Sisi wakatoliki ubani hutumika sana kanisani katika adhimisho la misa takatifu ya Ekaristi takatifu. Hutumika kupatakatifusha na kufungua anga kwaajili ya kupeleka maombi yako. Nikuambie tu, haya maombi huwa ni mazito mno. Na huwa nafanya nadra sana. Na huwa nayafanya pale napokosewa kwa mambo ya msingi. Nimewahi fanya mara 3 na nikajibiwa exactly. Kuna majirani zangu tunasali nao jumuiya walinishangaaga sana wakanambia hujua unajua hili? Ilikua mwaka jana mwishoni. Mwaka huu ndo nilisali juu ya mambo kadhaa. So ni imani hasaaa..
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Ukisoma Kwenye Biblia Mungu alikuwa anavutiwa sana na Sadaka za Kuteketezwa . Maana Yake Sadaka Zilichomwa Moto na Moshi ukapanda Juu. Na Kuna Sehemu Alisema Kabisa Kwamba Anavutiwa na Moshi utokao Kwenye Sadaka HizoMaelezo yako yamejirudia . Nachotaka kufahamu ni mambo 3
1: Ubani ni nini? (Ni magome ya miti na ni mti gani/ ni matunda / ni mizizi nk..)
2: Kuna mahusiano gani kati ya ubani na maombi/dua.? (Mana kama ni moshi je tukichoma mti mwingine wowote wenye moshi ni sawa? Na je ni kiomba bila ubani dua inapungua uzito na kwanini)?
3: Mungu anavutiwa na nini kwenye ubani? Harufu , Moshi au rangi hadi akubari kwa haraka dua inayoombwa kupitia Ubani kuliko dua zingine?.. (Mana unauchoma ndani afu una niambia unasafisha anga kivipi? Wakati ule moshi hata ozone ya kwanza haufiki na kama ni harufu hata nje haifiki.?)
Sisi tunaongelea imani kumbe wewe unaongelea sayansi mkuu? Sasa ubani kumbe unajua kabisa umetokana na magome ya miti swali lako ni lipi hapo? Umejitahidi sana kuweka swali lako kitaalam lisionekane ni kejeli ila i read u.Maelezo yako yamejirudia . Nachotaka kufahamu ni mambo 3
1: Ubani ni nini? (Ni magome ya miti na ni mti gani/ ni matunda / ni mizizi nk..)
2: Kuna mahusiano gani kati ya ubani na maombi/dua.? (Mana kama ni moshi je tukichoma mti mwingine wowote wenye moshi ni sawa? Na je ni kiomba bila ubani dua inapungua uzito na kwanini)?
3: Mungu anavutiwa na nini kwenye ubani? Harufu , Moshi au rangi hadi akubari kwa haraka dua inayoombwa kupitia Ubani kuliko dua zingine?.. (Mana unauchoma ndani afu una niambia unasafisha anga kivipi? Wakati ule moshi hata ozone ya kwanza haufiki na kama ni harufu hata nje haifiki.?)
Ko Ubani unatumika kama Sadaka ? Na je tukichukua mazao, mifugo au pesa tukachoma moto na kufanya maombi mungu anapendezwa nazo?Ukisoma Kwenye Biblia Mungu alikuwa anavutiwa sana na Sadaka za Kuteketezwa . Maana Yake Sadaka Zilichomwa Moto na Moshi ukapanda Juu. Na Kuna Sehemu Alisema Kabisa Kwamba Anavutiwa na Moshi utokao Kwenye Sadaka Hizo
Kumbuka Miti aliyoiumba Mungu Ni Dawa Ya Vitu Vingi sana. Tatizo sisi Tumeacha Asili Yetu. Miti Inatumika Kuponya,Kufukuza Roho mbaya,Kujitakasa n.k n.k Na Ipo ya Aina Mbalimbali kwahiyo hata Ubani Ni Moja Wapo
Jukumu la mtu mwenye mwenye imani ni kumuelimisha asie na imani ili aamini kama yeye. Sasa mnatakiwa kutuelimisha kunako ubani ili nasisi tuanze kuuwasha mana tuna mashida kibao Mungu anajifanya hatuoni kumbe kuna njia rahisi yakumfanya mungu atueleweSisi tunaongelea imani kumbe wewe unaongelea sayansi mkuu? Sasa ubani kumbe unajua kabisa umetokana na magome ya miti swali lako ni lipi hapo? Umejitahidi sana kuweka swali lako kitaalam lisionekane ni kejeli ila i read u.
Jioni njema
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Nahisi Bado Hujajitambua. Na Haupo Serious Kuelimika, Siku Ukiwa Tayari Utatafuta Elimu Kwa U seriousKo tukichukua pesa tukachoma moto mungu anapendezwa nazo?
Ndio sijakuelewa na ndo mana naendelea kukusumbua ili nitoke na kitu. Sipo hapa kurumbana. Nachotaka kufaham ni nguvu ya ubani Kwenye maombi ili ikiwezekana nianze kutumia. Au nije pm nn?Nahisi Bado Hujanitambua. Na Haupo Serious Kuelimika, Siku Ukiwa Tayari Utatafuta Elimu Kwa U serious
Kaka wanasaikolojia tumeshakujua wewe ni mtu wa mrengo gani!!!!UnajitahidiNilipo maliza chuo mwaka 2011 sikutaka kabisa kukaa home. Infact nimeanza kukaa gheto toka nipo form five way back in 2005.
So nilipo maliza chuo fasta Nika Enda kupanga chumba mitaa fulani jijini Darusalama Mbali Na kitaa nilicho zaliwa Na kukulia..
Sikutaka kuishi karibu Na mitaa ya nyumbani kwetu...
Kwa Sisi watoto wa kiislamu kuchoma ubani Ni Jambo la kawaida Sana.
So kama kawaida nilikuwa nachoma ubani Kila ifikapo usiku wa kuamkia ijumaa.
Kwa Sababu nafahamu baadhi ya ndugu zetu wakristo kwa Sababu ya kukosa kwao maarifa sahihi ya kiroho ( Hosea 2:18) wanakuwaga na phobia Sana Na Moshi wa ubani hasa ubani ujulikanao kama ubani Maka ( Frank incense) so nilikuwa najitahidi kadri ya uwezo wangu kuhakikisha Moshi hauvuki kwenda vyumba vya wapangaji wenzangu Kwa Sababu baadhi Yao walikuwa wakiristo..
So nilikuwa nikisha washa mkaa ukawa tayari kwa kuchoma ubani ntajifunika gubi gubi na shuka then ndo natosa ubani wangu kwenye chetezo.
Hata hivyo still bado Moshi kidogo ulikuwa unavuka na kwenda vyumba vya jirani Ingawa sio Kwa kiasi kikubwa kihivyo..
Bana we, ilikuwa kila nikichoma ubani hata kabla sijamaliza Dua zangu nasikia jamaa ( mpangaji mwenzangu) ana bisha hodi..
Alikuwa anapiga mlango mpaka ahakikishe nimefungua na kila nikifungua ananiambia aisee kuna moshi unatoka kwako, uzime.
Alikuwa ananikwaza sana huyu jamaa. And as if that is not enough akaenda kumwambia na mwenye nyumba kwamba kuna mtu anachoma ubani usiku.
Bahati nzuri mwenye nyumba ni mtoto wa mjini na yeye mwenyewe ni mswahili so akawa ananiacha. Kuna boya mjinga mjinga anasema eti unachoma ubani unamkwaza ila usimjali sana kwa sababu mtu mwenyewe mgalatia halafu ametoka mkoani mjini ameletwa na chuo kwa hiyo wewe ishi naye hivyohivyo..
Three months later nilitoka katika nyumba hiyo nikaenda kupanga nyumba nzima ya peke yangu ambako huko nilikuwa huru kuchoma ubani na mafusho kila siku kulingana na siku husika plus kuwaleta mashekhe na watoto yatima kwa ajili ya visomo vya usiku, kuchinja kondoo nakadhalika..
Two years later nikahamia kwenye nyumba yangu mwenyewe..
Fast forward ten years later baada ya kuondoka kwenye Kile chumba nilichokuwa nimepanga:
Last weekend nilienda kwenye duka la kuuza dawa za kisuna kununua ubani. Hamad!!! Nakutana uso kwa macho na jamaa.
Amechoka Hatari.
He looks like he died last week.
Viatu suruali na shati alilovaa they look like the ones which were used by Mr. Noah in the ark..
Jamaa alikuwa mpole sana aliponiona .
Alikuwa anajikuta Yohana Mbatizaji sasa hivi na yeye anajua ubani mashtaka na chetezo ni nini..
Wagalatia bana yani ukichoma ubani ule moshi wa ubani huwa wanahisi kama majini yanawavaa wanapo nusa harufu ya moshi huo.
Wanaunyanyapaa kama mti wa shetani vile wakati kwenye bible imeandikwa hapo Mwanzo alikuwepo neno nae neno alikuwa Kwa Mungu nae neno alikuwa Mungu vitu vyote visingeweza kufanyika pasipo neno . So hata mti wa frankincense ( ubani Maka) uliumbwa Na neno pia ambae Kwa wa wakristo huyo NENO Ni Yesu.
Ndio maana Mungu anasema Watu wangu Wana angamia Kwa kukosa maarifa ( Hosea 2:13)
Is it not in ur Bible kwamba Yesu alipo zaliwa mamajusi walipeleka zawadi ya Ubani Na Manemane?
Who instructed you guys to demonize Frankincense and myrrh?
Big up Sana Kwa kanisa katoliki, wao WANAJUA nguvu ya Ubani Ni Nini ndio maana kwenye ibada zao huwa Wana Choma ubani.
Moja Kati ya faida ZA ubani Na/au mafusho mengineyo Ni kufungua Anga la sayari husika kulingana Na siku husika ili kutumika kama point of contact Kati yako wewe unae omba Dua Na Malaika WANAO tawala sayari/siku hiyo. Hili Ni Moja Tu Kati ya matumizi ya Ubani.
Moral of the story: Mnaoishi kwenye nyumba za kupanga acheni kuwabugudhi wapangaji wenzenu wanao Choma ubani.
Na nyie mnao Choma ubani kwenye nyumba za kupanga just be proud of urself. Msione aibu kuchoma ubani. It is okay for you to do that