Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
Wajumbe,
Sasa ni wiki moja inakatika hatunaye mtaani Balozi Ali Karume alipokonywa uanachama wa CCM na kisha kusafirishwa usiku wa manane kutoka Zanzibar hadi Tanganyika na kufichwa kusikojulikana. Hakuna anayejua afya ya Karume huko aliko.
Katikati ya mjadala huu wa Bandari na Utanganyika mchango wa Mwanadiplomasia huyu ni muhimu sana. Kama tayari mmempokonya kadi ya chama basi mwachieni huru.
Karume alipokonywa kadi ya uachana baada ya kuonekana mwiba kwa utawala wa Rais Hussein Ally Mwinyi ambaye Balozi anamuona kama mtu aliyeshindwa kuongoza visiwa hivyo kwa kufuata sheria, kanuni na taratibu za nchi hiyo.
Karume pia aliweka wazi anachokijua kwamba CCM hakijawahi kushinda Uchaguzi Zanzibar hata mara moja na kwamba uamuzi wa nani aongoze Zanzibar hufanyika Dodoma (Tanganyika).