Wiki inakatika hatunaye Balozi Ali Karume

Wajumbe,

Sasa ni wiki moja inakatika hatunaye mtaani Balozi Ali Karume alipokonywa uanachama wa CCM na kisha kusafirishwa usiku wa manane kutoka Zanzibar hadi Tanganyika na kufichwa kusikojulikana. Hakuna anayejua afya ya Karume huko aliko.

Katikati ya mjadala huu wa Bandari na Utanganyika mchango wa Mwanadiplomasia huyu ni muhimu sana. Kama tayari mmempokonya kadi ya chama basi mwachieni huru.

Karume alipokonywa kadi ya uachana baada ya kuonekana mwiba kwa utawala wa Rais Hussein Ally Mwinyi ambaye Balozi anamuona kama mtu aliyeshindwa kuongoza visiwa hivyo kwa kufuata sheria, kanuni na taratibu za nchi hiyo.

Karume pia aliweka wazi anachokijua kwamba CCM hakijawahi kushinda Uchaguzi Zanzibar hata mara moja na kwamba uamuzi wa nani aongoze Zanzibar hufanyika Dodoma (Tanganyika).
Dada yake alivyo mkali angekaa kimya Hadi Leo?
 
Sikia nenda police chukua Rb, kama balozi bado ni mali ya uma,

Ikumbukwe binafsi nilipanga kuchukua RB ya Mzee kikwete endapo asingejitokeza adharani maana japo hajaongelea swala la bandari lakini nimemuona juzi akiwa na mke wake uko kwa kabila flani , lakini pia sabasaba, lakini nilikua namanisha .

So solution, watu mia fungueni jarada la kupotelewa na uyo Barozi tuone kama wataendelea mficha

Pamoja na ilo twende pamoja rudisha Bandari zetu

Ukienda kureport utadakwa wewe na kuwekwa ndani.
 
Wajumbe,

Sasa ni wiki moja inakatika hatunaye mtaani Balozi Ali Karume alipokonywa uanachama wa CCM na kisha kusafirishwa usiku wa manane kutoka Zanzibar hadi Tanganyika na kufichwa kusikojulikana. Hakuna anayejua afya ya Karume huko aliko.

Katikati ya mjadala huu wa Bandari na Utanganyika mchango wa Mwanadiplomasia huyu ni muhimu sana. Kama tayari mmempokonya kadi ya chama basi mwachieni huru.

Karume alipokonywa kadi ya uachana baada ya kuonekana mwiba kwa utawala wa Rais Hussein Ally Mwinyi ambaye Balozi anamuona kama mtu aliyeshindwa kuongoza visiwa hivyo kwa kufuata sheria, kanuni na taratibu za nchi hiyo.

Karume pia aliweka wazi anachokijua kwamba CCM hakijawahi kushinda Uchaguzi Zanzibar hata mara moja na kwamba uamuzi wa nani aongoze Zanzibar hufanyika Dodoma (Tanganyika).
Anatuhusu nini? Mambo Yao waachieni wenyewe
 
Back
Top Bottom