Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Simba katuheshimisha Watanganyika.. Kamnyoa kipara mwarabu. πͺπΏππΏπ₯π₯..!
TAL ni SIMBA kwa alama .. Ni alama Ya uthubutu mkubwa na fearless..
Tumeanza na SIMBA tunamaliza na LISSUπͺπΏπͺπΏπͺπΏ
Huko chama chawala uhuni waliofanyiana ngoja tusubiri yajayo