Hapa rafiki tumepishana , lakini yote heri! π π π πSimba katuheshimisha Watanganyika.. Kamnyoa kipara mwarabu. πͺπΏππΏπ₯π₯..!
TAL ni SIMBA kwa alama .. Ni alama Ya uthubutu mkubwa na fearless..
Tumeanza na SIMBA tunamaliza na LISSUπͺπΏπͺπΏπͺπΏ
Huko chama chawala uhuni waliofanyiana ngoja tusubiri yajayo
ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»Ngoja nivae Jezi kabisa.Simba katuheshimisha Watanganyika.. Kamnyoa kipara mwarabu. πͺπΏππΏπ₯π₯..!
TAL ni SIMBA kwa alama .. Ni alama Ya uthubutu mkubwa na fearless..
Tumeanza na SIMBA tunamaliza na LISSUπͺπΏπͺπΏπͺπΏ
Huko chama chawala uhuni waliofanyiana ngoja tusubiri yajayo
Tuupe muda wakati brother ni hakimu wa haki.. Halafu pia tukumbuke kuna wakati wa Yaweh..!Hapa rafiki tumepishana , lakini yote heri! π π π π
Simba Lisu mbona anamuacha Slaa anaozea selo? (maana laa ni mpenzi mkubwa wa Lisu)
Mmelikoroga vibaya mno... Na kwa hofu ya kukataliwa mkafanya uhuni mkubwa kumpitisha..! Mtakuwa na mwaka wa taabu mnoooni furaha ilije pia mama sasa ni rasmi tuko nae 2025 na mimi kama kichwa cha familia tayari nimewambia wanafamilia kama kwenye huu msafara wa mamba kuna kenge basi 2025 ajidai mamba kwa usalama wake.., niko bega kwa bega na mama kuwakabili hawa wanaojita wapinzani kwa chama dola
Kuna timings zake.Siyo kila kisichoangaliwa hakionekani.Hapa rafiki tumepishana , lakini yote heri! π π π π
Simba Lisu mbona anamuacha Slaa anaozea selo? (maana laa ni mpenzi mkubwa wa Lisu)
Yule mzee sio wa kumwaini sanaHapa rafiki tumepishana , lakini yote heri! π π π π
Simba Lisu mbona anamuacha Slaa anaozea selo? (maana laa ni mpenzi mkubwa wa Lisu)