uzuri upizani asilimia kubwa kwenye swala la kujiandikisha ni kama maji na mfutaMmelikoroga vibaya mno... Na kwa hofu ya kukataliwa mkafanya uhuni mkubwa kumpitisha..! Mtakuwa na mwaka wa taabu mnooo
To me acha aozee hukoYule mzee sio wa kumwaini sana
Timing ya kunyea debe...hiyo si sawa.Kuna timings zake.Siyo kila kisichoangaliwa hakionekani.
Wewe ndiye umeandika hivyo.Timing ya kunyea debe...hiyo si sawa.
nampongeza mweshimiwa LISU siasa sio uadui