Beauty Eva
Senior Member
- Jul 22, 2016
- 131
- 374
Zinakutosha sana,ukiwa na kichwa kizuri cha kuelewa hata wiki inatosha,iliyobakia utajiendeleza mwwnyewe kwa kuendesha.Muhimu ukishajifundisha usiache kuendesha.Ukikaa mda mrefu utaingia yoga,na hutaendesha tena.Habari zenu ndugu zangu.
Ninataka kujifunza kuendesha gari, haya magari madogo ya familia.
Je, wiki mbili zitanitosha kujua kuendesha manual na automatic?
Na ndio hao watakao kuwa wanawasha indicator ya kushoto halafu yeye anakata kulia'Kama mafuta yapo na una kichwa chepesi ni masaa sita tu unakuwa mzoefu kama dereva wa fuso.
Kama hawa bodaboda wenzangu.Na hao watakao kuwa wanawasha indicator ya kushoto halafu yeye anakata kulia'
Afadhali, umeomba jambo la maanaTupeni basi soft copy ya sheria za barabarani
Mmmh!!Gar mbona hata nikikulekeza hapa unachkua tu ufunguo unaendesha gar,mm mara ya kwnz naendsha gar baba alikuwa anaumwa hawez kuendsha alinipa tu maelekezo kwa mdm kila kitu kijana nkawasha gari nikatembea