Uchaguzi 2020 Wiki ngumu na ya kihistoria kwa Tume ya Uchaguzi. Kumtangaza aliyeshindwa au aliyeshinda

Uchaguzi 2020 Wiki ngumu na ya kihistoria kwa Tume ya Uchaguzi. Kumtangaza aliyeshindwa au aliyeshinda

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,858
Reaction score
5,101
Hii ni wiki ngumu kwa NEC na Wasimamizi wao wa uchaguzi kwa ngazi ya majimbo hasa katika suala la utoaji wa matokeo.

Kwa miaka kadhaa kuna dhana imejengeka miongoni mwa watu kwamba Rais alisikika akiwaonya hawa anaowateua halafu asikie wamemtangaza mpinzani.

Kwa upande wangu wasiwasi wangu uko kwa upande wa Zanzibar, je yatajirudia yale ya 2015?

Tusubirie tuone
 
Hali ya Zanzibar ni tete sana hasa Jana na Leo inaonekana tume isipokuwa makini bundi mweusi anazengea
 
Hii ni wiki ngumu kwa NEC na Wasimamizi wao wa uchaguzi kwa ngazi ya majimbo hasa katika suala la utoaji wa matokeo...
Wasiwasi wangu yasijirudie ya mwaka 2001 ambapo damu nyingi ya wasiokua na hatia ilimwagika! Ajabu hakuna hata mtu mmoja aliyewajibika angalau hata kwa kujiuzulu
 
Back
Top Bottom