Labda wanachanganya kutongozwa na kua NOTICED..KUSALIMIWA..KUSIFIWA and the likes!Mwanamke anayelalamika kuwa "hatongozwi" ni mwendawazimu - na anahitaji ushauri nasaha haraka sana!
Labda tunapishana Kiswahili - "to be approached" is not synonimous to "to be seduced"!
Labda wanachanganya kutongozwa na kua NOTICED..KUSALIMIWA..KUSIFIWA and the likes!
Nilipita mami sikutaka kugeuka nyuma naona wamekuamulia!Hehe mwaka huu tutakoma..au sijui wao ndo watakoma!Lizzy wangu yu wapi jamani???
mmmhhhhhhhh 😛layball:
Labda wanachanganya kutongozwa na kua NOTICED..KUSALIMIWA..KUSIFIWA and the likes!
Yeah nimeona hilo maana binafsi sioni wanachotetea kama kina tija!!hili ndilo tatizo la hawa wasichana
yaani,em ngoja nami nika-tathmini leo wangapi wamenitongoza.....lol!!!
Yeah nimeona hilo maana binafsi sioni wanachotetea kama kina tija!!
Off Topic:Haya we nawe kesi yako ya uhati breka imeishia wapi??
nadhani tatizo ni jina la mwisho hili cool am about to change it!l.o.l nishaenda on my knees kwa binti hapo juu
Basi ukibadilisha mwombe akuchagulie ili umwonyeshe ulivyodhamiria kufanya kweli!!(Kwa ushauri kama huu nategemea kua kwenye kamati...hamna cha bure!)
Naona wapinzani kila kona mami!Tofautiana kidogo to unadanganya!Kaazi kweli kweli!
Kuna kufikiriana visivyo nimegundua hapa JF...........ukitofautiana wewe ni muongo,kwa mwendo huu itabidi kila hoja hata mtu akija na wanawake wote ni wahuni,useme ndio.....
ukisema sio wewe muongo,unaambiwa uwe mkweli.....mbona hapatatosha hapa????
Kuna kufikiriana visivyo nimegundua hapa JF...........ukitofautiana wewe ni muongo,kwa mwendo huu itabidi kila hoja hata mtu akija na wanawake wote ni wahuni,useme ndio.....
ukisema sio wewe muongo,unaambiwa uwe mkweli.....mbona hapatatosha hapa????
Mi nna mwezi hamna kitu...njoo tule kujiliwaza mvuto hamna tena!
Hapo umenena!Baadae ntakupa mbinu mbili tatu za kumtuliza mamie!Hehehe baba mchungaji akitoka tu jela anawapa somo!wewe tena? usipokuwemo kwenye kamati nani sasa atakuwemo?.........nitaomba baba mchungaji aje kutulisha yamini!l.o.l
Kila mwanamke ameumbwa na hulka ya kuamini kuwa ana sifa ya uzuri. Hivyo basi wanawake tunaamini kwamba uzuri huo unaonenaka kwa nje kupitia mivuto.
Mivuto hiyo huwavuta wanaume wengine wakusalimie, wengine wapige jicho ili mradi wajiburudishe, na wale walio na ushujaa na ujasiri huwa hawasiti kukutongoza, na hapa kila mwanaume ana gia zake za kumwingia mwanamke.
Je dada mwenzangu huwa unajisikiaje ikipita wiki nzima hujasalimiwa na wavulana wenye jicho la kukutamani, hujatongozwa na wala hujasifiwa?
Binafsi last week ndio ilikuwa wiki niliyokuwa nimekosa kabisa watu wa kunichangamkia, nkajiuliza sana je nimezeeka au nyota yangu imetembelewa na mtu (l'm kidding, siamini mambo ya nyota)
mama whats up witchu today?
Kazi si kidogo!Wanataka/dhani walivyo wao na sie hivyo hivyo!Nani wakua kondoo hapa...tutawapa mpaka wakimbie!Kuna kufikiriana visivyo nimegundua hapa JF...........ukitofautiana wewe ni muongo,kwa mwendo huu itabidi kila hoja hata mtu akija na wanawake wote ni wahuni,useme ndio.....
ukisema sio wewe muongo,unaambiwa uwe mkweli.....mbona hapatatosha hapa????