Unajua Dinnah,wakati najibu comment yangu ya nyuma nilikuwa sijasoma hii:
Ha ha ha ha ha, Dinnah........
Kujishaua ni nini,kwamba mtu kasema hataki kuolewa ni kujishaua.....unajua kila mtu ana sababu yake iliyomfikisha kuamua maisha yake hivyo,safari zetu hapa duniani hazifanani,kwahiyo maamuzi ya maisha yangu au ya fulani anaishije inategemea sana maisha aliyopita.....kuna watu wamekuwa kwenye familia ambazo mama zao wameteswa,wenyewe wameteseka kwenye mahusiano na hawaoni kama kuna furaha kwa ndoa,wengine wanajifunza kutoka kwa role models wao walioshindwa kuhimili ndoa,wengine ni kwa kupenda tu,sasa hapa JF mtu ajishaue ili iweje?tunajuana,is this a dating site kwamba you want to please someone????
Unasema tuangalie strength na weakness at the same time unaona watu wanajishaua,si ndo wenzio wamepima strength na weakness za ndoa ndo tukaamua hivyo???
Sehemu kama JF lazima ukubali criticism,kwakuwa hatufikiri sawa,lakini ukianza kusema watu wanajishaua unless you can prove that unawakosea wenzio........😛layball: