Wiki nzima bila kutongozwa

Wiki nzima bila kutongozwa

michelle i use to love your comments please be wise!!!!

My dear Dinnah,sometimes we have to agree to disagree,i do not comment to please anyone but simply to share my opinion which might not always be wise,because am human.
Sorry if i have dissapointed you,thats how great thinkers argue.😛layball:
 
Hahahaaaaa niweke tu kizuizini muheshimiwa. Ila house boy kukutongoza ni dharau

Nadhani hiyo hali ikikutokea please usichuke hasira jaribu kufikiria ujasiri wake mpaka ameamua kukueleza yaliyo moyoni mwake na ikibidi mpe nafasi kwa vyovyote vile atakuwa na upendo wa dhati juu yako na mnaweza kudumu. Mfanyakazi wa ndani ni mtu kama wewe kuna mtu namjua mke alimletea ukorofi akamwachia nyumba house girl aliekuwepo hakuondoka akawa anawaangalia watoto vizuri baba akaona kuliko kutafuta mke bora nimuoe huyu huyu housegirl huyo jamaa ana asili ya kihindi na hadi hivi ninavyoandika hapa wapo pamoja 10 years plus! na wamepata watoto wengine.
 
na kati ya wanaokutongoza kwa mwaka mzima unakuwa umewakubali wangapi na wangapi umewatolea nje? naona kama unakaa kimitegomitego hivi ili utongozwe na roho yako ifurahi, wallah waume zetu wana tabu.

Unataka kusema kitu lakini umekimezea especial hiyo mistari ya mwisho nadhani hayo maneno yanapatikana kwenye beti ya nyimbo moja ya taarabu/mipasho "wako akiwa kwako"
 
My dear Dinnah,sometimes we have to agree to disagree,i do not comment to please anyone but simply to share my opinion which might not always be wise,because am human.
Sorry if i have dissapointed you,thats how great thinkers argue.😛layball:

akili kumkichwa
 
Unataka kusema kitu lakini umekimezea especial hiyo mistari ya mwisho nadhani hayo maneno yanapatikana kwenye beti ya nyimbo moja ya taarabu/mipasho "wako akiwa kwako"

Uko vivuri kwenye idara ya wanataarabu, ati?

Lakn GT kwann tusifunge topic hii???? Naona mtoa mada kaelewa everything na haina tija tena kendelea nayo. Twende kwenye uwanja wa siasa kuna hot issues pls for for country's prosperity!!!
 
Tatizo hapa sio mada wala mtoa mada. yeye kajielezea anavyojisikia yeye wewe either muunge au usimuunge na utetee hoja yako sio kumwambia amekosea hajakosea chochote. hakuna mwanamke asiependa kutongozwa katu nakataa jamani

saa nyingine tuwe tunaongea na ukweli.mimi huwa napitia sana humu jamvini japo umember nimepata hv karibuni na kuna watu wamejiunga humu nawaona mpaka leo hii wanajiona wametawala hili jamvi.kwa hiyo wamezoeana mmoja akitoa mada wote wanajitia kumsaport.

tuwe wakweli na tuheshimu hoja ya kila mmoja msiangalie nani katoa na kwa nini. tatizo lenu mnakutana mshajuana so kila mdada hapa anajitia ana tabia nzuri anakunja makucha yake asionekane mbaya mbele ya jamii.

Bila mtu kusema anachojisikia nyie mngejuaje kwa hiyo mkubali kwenye jamii kuna kila mtu na kila mtu ana feelings zake jao wengine kujishaua ooo hatutaki kuolewa oooo hatutaki kutongozwa ooo sijui nini.
ndio hawa wanaolewa badae wanatoa makucha wanaume wanawakimbia.

msijiite tu ma great thinker, GT anaangalia strength and weakness na mengine kama hayo
ahsanteni, naomba kuwakilisha

Unajua Dinnah,wakati najibu comment yangu ya nyuma nilikuwa sijasoma hii:

Ha ha ha ha ha, Dinnah........

Kujishaua ni nini,kwamba mtu kasema hataki kuolewa ni kujishaua.....unajua kila mtu ana sababu yake iliyomfikisha kuamua maisha yake hivyo,safari zetu hapa duniani hazifanani,kwahiyo maamuzi ya maisha yangu au ya fulani anaishije inategemea sana maisha aliyopita.....kuna watu wamekuwa kwenye familia ambazo mama zao wameteswa,wenyewe wameteseka kwenye mahusiano na hawaoni kama kuna furaha kwa ndoa,wengine wanajifunza kutoka kwa role models wao walioshindwa kuhimili ndoa,wengine ni kwa kupenda tu,sasa hapa JF mtu ajishaue ili iweje?tunajuana,is this a dating site kwamba you want to please someone????

Unasema tuangalie strength na weakness at the same time unaona watu wanajishaua,si ndo wenzio wamepima strength na weakness za ndoa ndo tukaamua hivyo???

Sehemu kama JF lazima ukubali criticism,kwakuwa hatufikiri sawa,lakini ukianza kusema watu wanajishaua unless you can prove that unawakosea wenzio kwakuwa sio wanajishaua bali ndo wanaishi hivyo. 😛layball:
 
Uko vivuri kwenye idara ya wanataarabu, ati?

Lakn GT kwann tusifunge topic hii???? Naona mtoa mada kaelewa everything na haina tija tena kendelea nayo. Twende kwenye uwanja wa siasa kuna hot issues pls for for country's prosperity!!!

Hizi siasa haziishi mkuu kuna wakati mwingine inatubidi tuingie huku ili tuweze kupumzisha vichwa na hasira maana kule unaweza kutukana ukapigwa ban bure.................
 
Unajua Dinnah,wakati najibu comment yangu ya nyuma nilikuwa sijasoma hii:

Ha ha ha ha ha, Dinnah........

Kujishaua ni nini,kwamba mtu kasema hataki kuolewa ni kujishaua.....unajua kila mtu ana sababu yake iliyomfikisha kuamua maisha yake hivyo,safari zetu hapa duniani hazifanani,kwahiyo maamuzi ya maisha yangu au ya fulani anaishije inategemea sana maisha aliyopita.....kuna watu wamekuwa kwenye familia ambazo mama zao wameteswa,wenyewe wameteseka kwenye mahusiano na hawaoni kama kuna furaha kwa ndoa,wengine wanajifunza kutoka kwa role models wao walioshindwa kuhimili ndoa,wengine ni kwa kupenda tu,sasa hapa JF mtu ajishaue ili iweje?tunajuana,is this a dating site kwamba you want to please someone????

Unasema tuangalie strength na weakness at the same time unaona watu wanajishaua,si ndo wenzio wamepima strength na weakness za ndoa ndo tukaamua hivyo???

Sehemu kama JF lazima ukubali criticism,kwakuwa hatufikiri sawa,lakini ukianza kusema watu wanajishaua unless you can prove that unawakosea wenzio........😛layball:

Kuna beti hapo mwanzo wa comment zako yaani ulipangilia vizuri vina halafu ukaharibu ulikuwa unaghani nini?
 
Mmm unawaza kutongozwa we mtoto nini lakini??? Punguza mawazo ya uzinzi
 
Nakubaliana na wewe kabisa ila kuna watu wakiona comment ya fulani wataunga mkono wakiona ya fulani wanaibuka utafikiri wamepata pm jamanieeee njoeni huku. inakuwaje nyie wote mnaojuana mna mawazo sawa?
pia nawalaumu wale wanaoona koment ya mtu wanaanza kumkandia mbona mkikandiana wenyewe hampeani maneno makali mala huyu atakuwa malaya mara anaishi uswazi mara sijui nini hamuoni kwamba sio vizuri
wengi hapa tuna jua mwanamke kama hujatongozwa wala huoni vizuri iwe kwa wiki mwezi au mwaka.sasa wengine hawapendi eti wanaangalia status ya mtu kwani nani alisema houseboy hana feelings?
hakuna watu walipata story mtoto wa kigogo hapa bongo kaolewa na houseboy wao na badae kampeleka shule na sasa anafanya kazi huku akiendelea kujiendeleza?
mbona sie hapa kwetu tunaingia kwenye jf hadi na hg na hboy wetu na wote wanajiita magreat thinker hiyo ni kwa taarifa ya wote tu.watu wacomment lakini wawe wakweli sababu mnajuana kwa sura hakuna hata siku moja mdada wa humu au mkaka wa humu atasema nimulala na housegirl or boy naomba ushauri ila ambaye hajulikani atauliza tu. strength na weakness za topic sio kusema mwenzenu mtoto au anakaa uswaz. by the way ur the one of my best commentor in this forum
naomba kuwakilisha hoja
Kuna beti hapo mwanzo wa comment zako yaani ulipangilia vizuri vina halafu ukaharibu ulikuwa unaghani nini?
 
sorry hiyo iliyoenda kwa mohammed shossi ilikuwa ya michelle sorry for that
 
This might as well be called sense of insecurity!..what matters is what you have inside not what you get from outside!:car:.....it depends
 
My dear Dinnah,sometimes we have to agree to disagree,i do not comment to please anyone but simply to share my opinion which might not always be wise,because am human.
Sorry if i have dissapointed you,thats how great thinkers argue.😛layball:

Utajisikiaje ukitoa thread yako watu wanakuja wanaanza kukwambia huna akili, we mtoto . utakuwa wa uswazi badala ya kujibu mada iliyotolewa?think about that michelle! bora hata wale wanaoanzisha mada juu ya mada kuliko wanaomtukana mtu au kumwona kama hana akili
 
This might as well be called sense of insecurity!..what matters is what you have inside not what you get from outside!:car:.....it depends

These shakespears poem sometimes huwa haziwork out mydear tracy! lazima mitongozo ipite kwanza ceteris paribus
 
Nakubaliana na wewe kabisa ila kuna watu wakiona comment ya fulani wataunga mkono wakiona ya fulani wanaibuka utafikiri wamepata pm jamanieeee njoeni huku. inakuwaje nyie wote mnaojuana mna mawazo sawa?
pia nawalaumu wale wanaoona koment ya mtu wanaanza kumkandia mbona mkikandiana wenyewe hampeani maneno makali mala huyu atakuwa malaya mara anaishi uswazi mara sijui nini hamuoni kwamba sio vizuri
wengi hapa tuna jua mwanamke kama hujatongozwa wala huoni vizuri iwe kwa wiki mwezi au mwaka.sasa wengine hawapendi eti wanaangalia status ya mtu kwani nani alisema houseboy hana feelings?
hakuna watu walipata story mtoto wa kigogo hapa bongo kaolewa na houseboy wao na badae kampeleka shule na sasa anafanya kazi huku akiendelea kujiendeleza?
mbona sie hapa kwetu tunaingia kwenye jf hadi na hg na hboy wetu na wote wanajiita magreat thinker hiyo ni kwa taarifa ya wote tu.watu wacomment lakini wawe wakweli sababu mnajuana kwa sura hakuna hata siku moja mdada wa humu au mkaka wa humu atasema nimulala na housegirl or boy naomba ushauri ila ambaye hajulikani atauliza tu. strength na weakness za topic sio kusema mwenzenu mtoto au anakaa uswaz.by the way ur the one of my best commentor in this forum
naomba kuwakilisha hoja

Nimekuelewa Dinnah,na nafikiri katika siku zangu chache sijawahi muita mtu malaya wala kusema katoka uswazi,hapa JF kuna wanaojuana,personally sijuani na mtu yeyote na kama kuna hiyo dhana ya kujuana na kupendeleana basi nilikuwa sijalitambua hilo asante kwa taarifa.

Thank you for compliment,naomba usiwe na hasira,tumetofautiana sana,na tofauti zetu zinaonekana hata kwa fikra zetu.....cheers,furahia uwepo wako JF mama,kuna raha na karaha,take it easy!!!!
 
These shakespears poem sometimes huwa haziwork out mydear tracy! lazima mitongozo ipite kwanza ceteris paribus

Dinnah my dear,.ndo maana nikasema it depends because mimi siezi kujishtukia kwamba sitongozwi,if ninae mtu tayari,why should i think of mwingine looking at me with eyes filled with lust?(at tymz)..so inategemea na mtu,na priorities zako!to me its not.
 
Utajisikiaje ukitoa thread yako watu wanakuja wanaanza kukwambia huna akili, we mtoto . utakuwa wa uswazi badala ya kujibu mada iliyotolewa?think about that michelle! bora hata wale wanaoanzisha mada juu ya mada kuliko wanaomtukana mtu au kumwona kama hana akili

Nimekuelewa,tulishatukanwa pia,ushauri wangu Dinnah,take it easy,najua inauma na kuudhi!!
 
Mi cpendi kabisa kutongozwa wala kusemeshwa barabarani. Huwa naona kama vile nimedharauliwa. Hivyo hata ikipita mwaka naona sawa tu.

Mmmmmhhh..........Sema Ukweli hutaenda kwa mganga wewe ?....upite mwakaa, kulikoniii? (ABNORMAL)!!
 
Back
Top Bottom