Wiki nzima bila kutongozwa

mama mchungaji....huyu mwenzangu ananirusha roho mwenzie kila saa......mara kloro....mara nitakuacha...yaaani haeleweki kama sigara ile ya kali...l.o.l.....wakati mie mwenzie roho yangu yote nimeibwaga kwake

Haki yako ni danadana weee, tena kwa kitenesiπŸ™‚
 
mama mchungaji....huyu mwenzangu ananirusha roho mwenzie kila saa......mara kloro....mara nitakuacha...yaaani haeleweki kama sigara ile ya kali...l.o.l.....wakati mie mwenzie roho yangu yote nimeibwaga kwake

Michelle una cha kujitete hapa????:suspicious:
 
ohoooooo MAMBO YA KUNYWA CHAI NA MATANGO

Hahahahahahahah Uuuuuuuwiiiiiiiiiii teh teh teh teh . . . . Mkuu ahsante. Daaah! Nimekikubali hiki kidongo hahahahahahahah
 
Weee hizo kicheni pati za siku hizi zinapotosha sana ehh maana haya mawazo sio!Utamuua mwenzako kwa presha bure!

Nishamsoma Hashy,haumii yule mwanaume ndo maana najifanyia nitakavyo mama mchungaji.........
 
Michele habari yako binafsi mama, pole na uchovu wa siku, natumaini unaendelea vizuri mama. Daaa naona ulikuwa na kazi nzito hapo juu, mi nlikimbia manake niliona hali mbaya.

Bahati nzuri nikakutana na bacha akanionesha njia ya kutokea aisee!! 0therwise nashukuru umemaliza vizuri.
 
Michelle una cha kujitete hapa????:suspicious:

Mimi pia roho yangu nimeibwaga kwake mama mchungaji ila huyo ndo aliniita mi ua la barabarani,sijasahu bado????

Ana mrembo wake mzuri basi naye hunirusha roho,nami nikaona ya nini,hata mi kurusha roho yake naweza???:disapointed:
 
mimi pia roho yangu nimeibwaga kwake mama mchungaji ila huyo ndo aliniita mi ua la barabarani,sijasahu bado????

Ana mrembo wake mzuri basi naye hunirusha roho,nami nikaona ya nini,hata mi kurusha roho yake naweza???:disapointed:

aii weweeee
 
Habari yangu binafsi nzuri sana my dear,kweli kazi ilikuwepo kwa kuwa ilibidi nizungumze nafsi za watu wengine.....duh,kuna watu wana mawazo sio kabisa yani.....sikujua kuna kujuana ati???mi kila li-thread natia pua kumbe kwingine sitakiwi.....lol

Ningejua ningeunga njia moja na Bacha na wewe,hii kazi ya leo,vile tu utu uzima umenifika,pasingekalika hapa......:shock:
 
Ngoja nikae ATEEEEEEEN-SHEN kumchukua michelle rasmiπŸ™‚
 
Nishamsoma Hashy,haumii yule mwanaume ndo maana najifanyia nitakavyo mama mchungaji.........

Mhhhh ndivyo anavyotaka uamini...ulivyotaka kaanza ku:yell: then aka :crying:alafu aka:A S-cry: zaidi mpaka nika:busu kirafiki kabla sija:gossip: kwamba unam:love: sanaaaaaa!!!
 
Pole sana my dear, binafsi naona swala la kujuana hapa wala halina msingi wowote ktk hili mwenzangu. Sidhani kabisa kama kuna mtu anayekubaliana na ujinga wa mtu kwa sababu anamfahamu. Labda kama anaona vema atupe mfano.

Nashawishika kufikiri labda wanafahamiana na mtoa mada so akaamua awe upande wake.
 
Mmmh! Mpenzi haya mambo ya kujuana yapo hapa JF?? Makubwaaaa :shock:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…