CPU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 3,858
- 687
mama mchungaji....huyu mwenzangu ananirusha roho mwenzie kila saa......mara kloro....mara nitakuacha...yaaani haeleweki kama sigara ile ya kali...l.o.l.....wakati mie mwenzie roho yangu yote nimeibwaga kwake
Haki yako ni danadana weee, tena kwa kitenesi🙂